Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Labda hao unaokutana nao ni wa hizo level zako ila kama Tusiime madaktari na ma engineer wengi tu na wengi wao hawaji kusoma huko vyuo vya kata na kuja kuhangaikia kazi na wakina St.Kayumba hao unaokutana nao ndo wa level zako ila waliokuzidi hujakutana nao........nakupa mfano mwingine tena unamjua Lucylight Malya? Zawadi Mdoe?Sijawai kuona engineer au dokta aliyesoma hizo international zenu.. ama country bet student A level aliyesoma hizo english medium..
Hata best students wa vyuo vikuu kila mwaka ni zao la kayumba