COVID-19 na anguko la Shule za English Medium

COVID-19 na anguko la Shule za English Medium

Cheki unavyowatafuta kwa shida.. ningekwambia wataje wa kayumba.. ungewapata zaidi ya 100.. maana kila mwaka wanaongoza vyuo vikuu vyote vya uma.. na hata a level
Best student? Bro bado upo chuo nn....huku kitaa hatuangaliagi best students sijui T.O wa kukariri madesa acha corona ipite ukamalize shule (I assume that) uje kitaa na u - T.O wako sijui u best student

Back to main topic m nimesoma Kayumba ila siwez kubali dogo rasi nae apite mule mule
 
Unaelewa tofauti ya lugha ya pili na lugha ya tatu?

Na profesa je wa ujerumani , japan, ufaransa, china, korea ambaye hajui kiingereza.. na anapitwa na mtoto wa kikenya nae ni mpuuzi?
Kwanza nielewe,
Sijamuita Prof,aliyezidiwa kingereza na mtoto wa primary Kenya kuwa ni mpuuzi.

Pili,Mataifa yote hayo uliyoyataja ni Dunia ya kwanza na sisi ni Dunia ya Tatu na hivyo kuna tofauti iliyo dhahiri.

Wengi wanajitegemea na wamejitosheleza kwa teknolojia na kimaendeleo.
sisi tumejitosheleza na nn?

soko la ajira tunapambana na wanaotumia kingereza,tutakwenda wapi?
 
Hela zangu. Mtoto wangu. Maamuzi yangu. Peleka busara zako kule. Kuna tofauti kubwa kati ya mtoto aliyesoma shule ya bei kubwa na ya bei ndogo.
Mtoto aliyesoma shule za bei kubwa atakua na network na watoto wa wakubwa. You know what I mean? Zikitokea kazi za mishahara minene wao wanajiconnect kirahisi tu.

Tutajie hao watoto walio soma English Medium ambao Wana network kubwa ili tuwe na uhakika Ur not talking about ghosts.

Nitajie mtoto wa St. English ambae ana network kama ya just MTU Tu kama Giggy Money mtoto wa uswazi primary at kayumba sec kaishia form two.

U have stuck in the 90s.

What Ur saying here was valid from 1985 and below
 
Hela zangu. Mtoto wangu. Maamuzi yangu. Peleka busara zako kule. Kuna tofauti kubwa kati ya mtoto aliyesoma shule ya bei kubwa na ya bei ndogo.
Mtoto aliyesoma shule za bei kubwa atakua na network na watoto wa wakubwa. You know what I mean? Zikitokea kazi za mishahara minene wao wanajiconnect kirahisi tu.

Tutajie majina ya watoto waliosoma English medium ambao Wana network na watoto wakubwa so that we be sure that ur not talking about ghosts.

Tutajie walau mtoto mmoja alie soma st English ambae ana network kama ya mtoto kama Giggy Money ambae primary at kayumba na sec kasoma Mugetta Education Center.

U have stuck in the 90s

What Ur saying here was valid from 1985 and below and not after that

Ukoo wenu wote mnaweza kuwa hamna network kubwa hata ya MTU kama Shilole.

Hapo sijamtaja MTU kama Diamond
 
PEPO LA KIMASKINI LINAKUSUMBUA

Sent using Fly in any Weather.

Wewe Una akili kama za mabaamedi ambao Wana amini MTU anae piga mateke bar ndo tajiri.

#kupiga mateke bar ni kupiga round au kununulia watu bia bar.

# kumsomesha mtoto st English wakati hauna nyumba Masaki au Mbezi ni Sawa kupiga mateke bar
 
Lugha za taifa tanzania ni English na kiswahili. Tumeanza kujifunza kingereza toka darasa la tatu. Kuanzia form 1 hadi chuo ni english tupo. Je china na germany wanasoma hivyo. Acha kulinganisha mayai na maembe. MKATA KIU,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawai kuona engineer au dokta aliyesoma hizo international zenu.. ama country bet student A level aliyesoma hizo english medium..

Hata best students wa vyuo vikuu kila mwaka ni zao la kayumba
"Huhitaji kuwa mwanafunzi bora chuoni ndio ufanikiwe kimaisha" hivyo tuwe tunafikiria tunapokwenda na sio tulipo...
 
Si kosa kusomesha mtoto shule bora kama uwezo upo, mazingira ya shule za government ni vile hakuna namna nyingine ila si rafiki kwa elimu bora , mtoto anaingia darasa moja wako 130 unaweza vipi linganisha na wale wapo 45 had 35 ?,pia T.I.D unae msema kasoma Shabarn Robert Upanga fanya tafiti zako vizur acha udaku.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bora umemwambia tena darasa alilokuwa anasoma yeye waafrika walikuwa 3. Wengine ngozi nyeupe tuuuu. Tatizo kuna watu wameijua DSM miaka hiii ya WasApp na Instagram

Sent using Jamii Forums mobile app
 
live on,
Nimesoma msingi kayumba, secondary kayumba chuo nikaebda nje nikawagaragaza wa huko! Hivyo inategemea na awezo na kujituma kwa mtu!
 
Binafsi nimegundua kuwa shule za English medium zinawawezesha wanafunzi wawe wazuri angalau kwenye spoken English lakini kwenye written English uwezo wao ni mdogo mno...halafu pia ni wavivu kujisomea...
Hayo ni mawazo ya kizamani. Sasa mzazi kama wewe mwenye mawazo kama hayo unategemea mtoto wako afaulu.

Maana pamoja na kufundishwa shuleni, mtoto nae anatakiwa awe na akili pia, sio kwamba aende tuuuu shule na kufaulu bila kutia juhudi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale wa IST na shule zingine zinazotumia mitaala ya nje sawa... ila hawa wa daraja la kati kama tusiime, st marys etc.. tunakutana nao vyuo vikuu vya uma.. wakiwa vilaza tu wanakimbizwa na sisi kayumba darasani.. udsm wamejaa kibao tena sio kozi za coet wao wamejaa kozi za arts na social science na wanabuluzwa na kayumba.. narudia tena sijawai ona best student aliyeoma english medium chuo kikuu
Kayumba wanafundishwa kufaulu mitihani lakini kwenye exposures na elimu ya ufahamu ni zero kabisa
 
Hayo ni mawazo ya kizamani. Sasa mzazi kama wewe mwenye mawazo kama hayo unategemea mtoto wako afaulu. Maana pamoja na kufundishwa shuleni, mtoto nae anatakiwa awe na akili pia, sio kwamba aende tuuuu shule na kufaulu bila kutia juhudi

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui hayo unayosema mawazo ya kizamani ni yapi? Anyway thanks kwa comment yako...
 
Cheki unavyowatafuta kwa shida.. ningekwambia wataje wa kayumba.. ungewapata zaidi ya 100.. maana kila mwaka wanaongoza vyuo vikuu vyote vya uma.. na hata a level
Tena ukienda Vyuo kama MUHAS, BUGANDO, CoET,DIT,ARDHI kayumba wengi wanaongoza
 
Naona kinachokuuma sana ni kwamba una ndugu, marafiki, majirani... wanaopeleka watoto English medium wakati wako waenda Kayumba. That is your main message here. Unaamini katika kifo cha wengi harusi. siyo? Peleka wako Kayumba and save money ili siku ukiondoka uzikwe nazo. Tutakula majani lakini watoto wasome vizuri. Ndio maana ya kuwa mzazi hiyo.
Unakula majani kusomesha mtoto kwa milioni 7 halafu akihitimu degree ajira hakuna, huna mtaji wa kumpa aanzishe hata FIRM.
 
Kuna interview ya TID alisema yeye alkuwa wakishua anapelekwa shule na gari hivyo sidhan kama kasoma kayumba
 
Kusema ukweli mazingira ya kuyumba ni magumu mno na mtoto ambaye ametoboa kuyumba huyo ni fittest kutokana na changamoto alizopitia hivyo ni rahisi kutoboa ktk maisha na kusurvive kwny mazingira magumu sababu ni vingi amejifunza na vigumu kwake kukata tamaa .
 
Back
Top Bottom