Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Labda hao unaokutana nao ni wa hizo level zako ila kama Tusiime madaktari na ma engineer wengi tu na wengi wao hawaji kusoma huko vyuo vya kata na kuja kuhangaikia kazi na wakina St.Kayumba hao unaokutana nao ndo wa level zako ila waliokuzidi hujakutana nao........nakupa mfano mwingine tena unamjua Lucylight Malya? Zawadi Mdoe?Sijawai kuona engineer au dokta aliyesoma hizo international zenu.. ama country bet student A level aliyesoma hizo english medium..
Hata best students wa vyuo vikuu kila mwaka ni zao la kayumba
Naona , mnaendelea kupiga ramli. Mtoto kumsomesha kayumba nikujitaftia matatizo.
Huyu jamaa ana matatizo yake binafsi na hizo shule.LIKUD
Mbona huwa unazipondea sana shule binafsi?.
Kama una uwezo wa kumpeleka mtoto shule binafsi mpeleke, usifiche ubahili wako kwa kuangalia loop holes zilizopo kwenye shule hizo.
Labda hao unaokutana nao ni wa hizo level zako ila kama Tusiime madaktari na ma engineer wengi tu na wengi wao hawaji kusoma huko vyuo vya kata na kuja kuhangaikia kazi na wakina St.Kayumba hao unaokutana nao ndo wa level zako ila waliokuzidi hujakutana nao........nakupa mfano mwingine tena unamjua Lucylight Malya???Zawadi Mdoe??
My daughter is at std seven now. Hata kama nimeshindwa kulipa Ada there is nothing I can do cause njoo Jua njoo mvua mtoto lazima amalize kwenye shule hiyo hiyo.Huyu jamaa ana matatizo yake binafsi na hizo shule.
Labda kashindwa kumlipia ada binti yake aliyewahi kuleta mada ya kumtafutia shule ya private humu.
Sasa wee unadhani wa ist atasoma udsm... Wao wakimaliza wanachumpa majuu mkuu so hutawaona vyuo vya hapa bongoSijawai kuona engineer au dokta aliyesoma hizo international zenu.. ama country bet student A level aliyesoma hizo english medium..
Hata best students wa vyuo vikuu kila mwaka ni zao la kayumba
Sasa wee unadhani wa ist atasoma udsm... Wao wakimaliza wanachumpa majuu mkuu so hutawaona vyuo vya hapa bongo
Afadhali umeandika hujawahi kuwaonaSijawai kuona engineer au dokta aliyesoma hizo international zenu.. ama country bet student A level aliyesoma hizo english medium..
Hata best students wa vyuo vikuu kila mwaka ni zao la kayumba
Nakupa ushauri tu mkuu. Ukitaka kuwa na nyumba bora na imara hakikisha umeweka/umejenga msingi imara. Nafikiri umenielewa.Hivi ukiongelea english medium na ist unaiweka... humu jamiiforums kuna member hata mmoja ambaye amesoma IST ama anasomesha mwanae IST?
IST haiwezi kutetereka na corona...soma juu ya uzi.. shule ambazo tunazijadili humu ni zile level za kati...kama tusiime....
Narudia tena humu jamiiforums sizani kama kuna member hata mmoja anaesomesha mtoto IST , na hata kama yupo hana muda wa kushinda jamiiforums yupo busy na biashara zake
Nakupa ushauri tu mkuu. Ukitaka kuwa na nyumba bora na imara hakikisha umeweka/umejenga msingi imara. Nafikiri umenielewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi nimegundua kuwa shule za English medium zinawawezesha wanafunzi wawe wazuri angalau kwenye spoken English lakini kwenye written English uwezo wao ni mdogo mno...halafu pia ni wavivu kujisomea...Naona , mnaendelea kupiga ramli. Mtoto kumsomesha kayumba nikujitaftia matatizo.