GRANITE II
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 540
- 965
Best student? Bro bado upo chuo nn....huku kitaa hatuangaliagi best students sijui T.O wa kukariri madesa acha corona ipite ukamalize shule (I assume that) uje kitaa na u - T.O wako sijui u best studentCheki unavyowatafuta kwa shida.. ningekwambia wataje wa kayumba.. ungewapata zaidi ya 100.. maana kila mwaka wanaongoza vyuo vikuu vyote vya uma.. na hata a level
Kwanza nielewe,Unaelewa tofauti ya lugha ya pili na lugha ya tatu?
Na profesa je wa ujerumani , japan, ufaransa, china, korea ambaye hajui kiingereza.. na anapitwa na mtoto wa kikenya nae ni mpuuzi?
Hela zangu. Mtoto wangu. Maamuzi yangu. Peleka busara zako kule. Kuna tofauti kubwa kati ya mtoto aliyesoma shule ya bei kubwa na ya bei ndogo.
Mtoto aliyesoma shule za bei kubwa atakua na network na watoto wa wakubwa. You know what I mean? Zikitokea kazi za mishahara minene wao wanajiconnect kirahisi tu.
Mimi sina hela wala sina mtoto wa kupeleka hukoMwenye hela Hawezi kuongea maneno kama haya.
Hela zangu. Mtoto wangu. Maamuzi yangu. Peleka busara zako kule. Kuna tofauti kubwa kati ya mtoto aliyesoma shule ya bei kubwa na ya bei ndogo.
Mtoto aliyesoma shule za bei kubwa atakua na network na watoto wa wakubwa. You know what I mean? Zikitokea kazi za mishahara minene wao wanajiconnect kirahisi tu.
"Huhitaji kuwa mwanafunzi bora chuoni ndio ufanikiwe kimaisha" hivyo tuwe tunafikiria tunapokwenda na sio tulipo...Sijawai kuona engineer au dokta aliyesoma hizo international zenu.. ama country bet student A level aliyesoma hizo english medium..
Hata best students wa vyuo vikuu kila mwaka ni zao la kayumba
Bora umemwambia tena darasa alilokuwa anasoma yeye waafrika walikuwa 3. Wengine ngozi nyeupe tuuuu. Tatizo kuna watu wameijua DSM miaka hiii ya WasApp na InstagramSi kosa kusomesha mtoto shule bora kama uwezo upo, mazingira ya shule za government ni vile hakuna namna nyingine ila si rafiki kwa elimu bora , mtoto anaingia darasa moja wako 130 unaweza vipi linganisha na wale wapo 45 had 35 ?,pia T.I.D unae msema kasoma Shabarn Robert Upanga fanya tafiti zako vizur acha udaku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ni mawazo ya kizamani. Sasa mzazi kama wewe mwenye mawazo kama hayo unategemea mtoto wako afaulu.Binafsi nimegundua kuwa shule za English medium zinawawezesha wanafunzi wawe wazuri angalau kwenye spoken English lakini kwenye written English uwezo wao ni mdogo mno...halafu pia ni wavivu kujisomea...
Kayumba wanafundishwa kufaulu mitihani lakini kwenye exposures na elimu ya ufahamu ni zero kabisaWale wa IST na shule zingine zinazotumia mitaala ya nje sawa... ila hawa wa daraja la kati kama tusiime, st marys etc.. tunakutana nao vyuo vikuu vya uma.. wakiwa vilaza tu wanakimbizwa na sisi kayumba darasani.. udsm wamejaa kibao tena sio kozi za coet wao wamejaa kozi za arts na social science na wanabuluzwa na kayumba.. narudia tena sijawai ona best student aliyeoma english medium chuo kikuu
Sijui hayo unayosema mawazo ya kizamani ni yapi? Anyway thanks kwa comment yako...Hayo ni mawazo ya kizamani. Sasa mzazi kama wewe mwenye mawazo kama hayo unategemea mtoto wako afaulu. Maana pamoja na kufundishwa shuleni, mtoto nae anatakiwa awe na akili pia, sio kwamba aende tuuuu shule na kufaulu bila kutia juhudi
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena ukienda Vyuo kama MUHAS, BUGANDO, CoET,DIT,ARDHI kayumba wengi wanaongozaCheki unavyowatafuta kwa shida.. ningekwambia wataje wa kayumba.. ungewapata zaidi ya 100.. maana kila mwaka wanaongoza vyuo vikuu vyote vya uma.. na hata a level
Unakula majani kusomesha mtoto kwa milioni 7 halafu akihitimu degree ajira hakuna, huna mtaji wa kumpa aanzishe hata FIRM.Naona kinachokuuma sana ni kwamba una ndugu, marafiki, majirani... wanaopeleka watoto English medium wakati wako waenda Kayumba. That is your main message here. Unaamini katika kifo cha wengi harusi. siyo? Peleka wako Kayumba and save money ili siku ukiondoka uzikwe nazo. Tutakula majani lakini watoto wasome vizuri. Ndio maana ya kuwa mzazi hiyo.
Masihara hayo utamfananisha mtoto anaesoma secondary ya kata na mtoto anae soma Royora au Asante Anthonypole sana. ila hamna secondary ya kayumba. Sekondari hadi vyote vyote ni sawa kwa maana ya mtaala except mtaala wa Cambridge