COVID-19 na anguko la Shule za English Medium

bahati mbaya mkuu wangu,wengi wa vijana hapa wamekuelewa vibaya.

Eng medium sio shule mbaya ni nzuri kama una uwezo,lakini sio ticket ya kupata network itakayokusaidia kutoboa maishani,wengi network wanazitoa kwa wazazi wao ambao kama si wafanyabiashara,basi ni wanasiasa wakubwa. mtoto anasoma shule ya pesa akijua kabisa nafasi fulani inanisubiri nikimaliza shule.

wewe mwenzangu namimi fata mkumbo ukiwa umekariri kwamba mtoto akisoma hapo atajua yai la mbuni na lazima atapata connection,amalize aje asubirie ajira umefeli tayari.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Masihara hayo utamfananisha mtoto anaesoma secondary ya kata na mtoto anae soma Royora au Asante Anthony

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimesoma kata. Nilipata Div.01. Shule za kata wanapata Div. one. Mwaka jana kuna mwanafunzi wa Sekondari ya kata kapata A-9 huko Simiyu.

Shule ya kata niliyosoma mimi ilishawahi kutoa hadi One ya 8. Sitakati kuwa kuna changamoto lakini hakuna Kayumba ya Sekondari na Chuo Kikuu. Loyola unayosema siku hizi inapitwa na shule za kata.
 
Kwakweli hali mbaya sana TUSIIME waalimu wamepewa 150000 wakajaza likizo ni ishu sana.Wazazi tunashangaa iweje shule ishindwe kulipa APRIL SALARY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shule binafsi nyingi wanawekeza kufaulisha ili wapate wanafunzi.

Hawawekezi katika kumjenga mwanafunzi ajitegemee kimasomo, kidadisi na kichunguzi.

Shule za Umma zenyewe zipo kusababisha mwanafunzi asonge hadi atakapoishia....


Mwisho wa siku akili ya mwanafunzi ndio ina umuhimu na ndio mana kuna watoto wanalipiwa hela nyingi kwenye shule zenye kila kitu ila bado wanaburuzwa na wasoma bure wa Kibaha, Ilboru, Mzumbe etc

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenya mbona madaktari wao weupe tu kichwani , wanaishia form 4 tu wanaenda vyuo, kwanza hawawezi msuli wa advance hawana advance wale wanajikongoja tu wakikutana na watanzania vyuo vya nje
 

We jamaa fala sana ndio maana Tanzania [emoji1241] hatuendelei


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
T.I.D kasoma kayumba gani!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili za kimasikini hizi.
 
Sijawai kuona engineer au dokta aliyesoma hizo international zenu.. ama country bet student A level aliyesoma hizo english medium..

Hata best students wa vyuo vikuu kila mwaka ni zao la kayumba
Kwa hiyo unashauri nini?
 
Ukiwa mkataufuta bwana unachukulia kila mtu mhangala kama wewe...Corona Tanzania haijaacha impact kubwa labda kama unaizungumzia Kenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…