USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 10,904
- 26,184
Lini wazungu wakatusemea ukweli lini uliona maiti mitaani....Nani mkweli na nani muongo sisi raia hatuwezi kujua kusema kweli maana njia tulizotumia kupambana na hili janga.......???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lini wazungu wakatusemea ukweli lini uliona maiti mitaani....Nani mkweli na nani muongo sisi raia hatuwezi kujua kusema kweli maana njia tulizotumia kupambana na hili janga.......???
JPM alikuwa na ukaribu sana Tall PK hata Dada Mange alishawahi kusema kwamba ni Mshikaji wake na Mbinu Nyingi za Kuongoza kwa Mkono wa Chuma alichukua kwake!!Nani kwakwambia Rwanda ni rafiki
Mambo kama haya ni kawaida sana katika vita ya kiuchumi, Marekani yupo kimasilahi kupitia siasa zake.
Ujasusi unaeleza watu wabaya hujivika ngozi za kondoo, wema upendo na kusaidia hasa misaada kwa jamii au Taifa japo nyuma ya pazia ni watu hatari sana ( USA).
Ukweli ambao wengi hawaufahamu ni kuwa wamarekani wengi wana maisha magumu sana hasa kwenye public services kama vile hospitali na Mashule huduma zao ni mbovu tena mbovu sana tofauti na private services.(wapo vizuri wamiliki ni hao mabepari wanao tupa misaada).
zaidi wanatumia vyombo vya habari kam BBC. N.k kusambaza propaganda kwa mataifa kama yetu kwao hakuna uhuru wa vyombo vya habari kuripoti matatizo ya kwao (hili lipo wazi).
Kwa akili za kawaida sio kwamba USA wanatupa msaada bali wanataka kunufaika kupitia misaada na mikopo wanayotoa.
Hiki USA wanacho kifanya, mkuu Pascal Mayalla ni ajenda za kisiasa( wanatuchafua kisiasa) hapa sio corona kuna mambo yao
No mercy under capitalism.
Waliendeshaje hadi huko kumbe huu ugonjwa hauna ishuSasa hao madereva 11 wa nchi jirani waliorejeshwa nchini mwao hawapo kwenye hesabu ya wale wanne?
Cc: USSR , Bia yetu Magonjwa Mtambuka Drone Camera
Eti wanataka tule niniTuwaachie wenyewe !wasituchanganye sie maisha yenyewe magumu alafu bado watupelekeshe mara huku mara huku.
Poleni Sana kwa Msiba Uliosababishwa na "UGONJWA FULANI UNAOKUMBA MADEREVA WA NCHI JIRANI"
Juzi tu ameitwa balozi wao kwa kuzusha mambo na leo wamezusha tena wakati covid TZ nzima wagonjwa ni wanne tu waliofariki ni 21.
Mbaya zaidi raia wanyonge wameingizwa chaka hata barakoa hawavai na madumu ya maji tiririka hayajazwi tena
Takwimu za kidunia zinasema kuwa wastani wa 5% ya watu waliombukizwa Corona ndio hufariki. (Yaani katika kila kifo kimoja cha mgonjwa wa Corona basi nyuma yake kuna watu 19 waliopata Corona na hawajafa, yaani wako fit mtaani).
Kwa hapa Tz, karibu kila siku kuna at least mtu mmoja mwenye umaarufu wa kati ambaye amefariki (kwa ugonjwa unaelezwa na ndugu zake wa karibu kuwa ni COVID).
Sasa hapo ndipo utajua tupo wapi na tunakwenda wapi.
Waliendeshaje hadi huko kumbe huu ugonjwa hauna ishu
Partial Lockdown.Kwani nao wanalock down
Du nilisahau cheo kimojaJpm ameikimbiza corona hadi imeisha ,nyie mnalialia humu
Umeambiwa mara ya kwanza unatoka nje ya mada na kweli unaendelea kutoka jamaa hajakueleza watu waache kufanya kazi ila wewe unaongelea km watu wamezungumzia wasifanye kazi sababu ya Corona. Usi C&P wanayosema kina Kabudi kwa ajili ya propaganda fuatilia nn kinachojadiliwa hapa Kwenye huu uzi.Wewe unawamini wamarekani kwa taariafa wanazo zitoa?
Lini umefanya tafiti kubaini ukweli wa kinachosemwa na ubalozi wa marekani
Usitake kubisha vitu ambavyo havina ukweli mkuu. Corona isiwe sababu ya watu washindwe kuendelea na maisha mengin
Siasa inagusa vitu vingi, kama utakuwa unajitambua basi utakuwa umeelewa
Ukitaka kujua ukweli nenda Amana , Mwananyamala , Hindu Mandal na Agha Khan , ukisikiliza porojo za ummy utaachwa nyuma sana ! USA inayo idadi ya wagonjwa na majina yao wakiwemo marehemu zaidi ya 300Kuna ndugu yako kapukutika
Tutaendelea kupambana na maisha sisi sio wakufa kama wazungu
Ukitaka kujua ukweli nenda Amana , Mwananyamala , Hindu Mandal na Agha Khan , ukisikiliza porojo za ummy utaachwa nyuma sana ! USA inayo idadi ya wagonjwa na majina yao wakiwemo marehemu zaidi ya 300
Pascal Mayalla (Njaa) hana hoja anatafuta kuteuliwa ilu agange njaa yake. Kila nchi, Tanzania ikiwemo, hushauri wananchi wake wakiwa nje ya nchi zao wajisajili kwenye ubalozi wao ili waweze kusaidiwa ikibidi. Tanzania ilituma ndege ya Magufuli I India kuleta Wabongo walioliokuwa huko kwa shughuli zao mbalimbali. Kuna Wamarekani wengi hapa kwa shughuli mbalimbali anayejua wingi wao ni Ubalozi wa Marekani wenye jukumu la kuwalinda.Baada ya kutokea maandamano kule okwao USA mbona vifo havijaongezeka...!!?
Labda ubalozi wao hapa tz wanazo taarifaa ambazo Ni tofauti na takwimu za serikali juu ya Corona.. ndio maana Pascal Mayalla Ana hoja...
Kwa kithibitisho hiki wamarekani ndio wakweliMarekani wako sahihi kabisa, tuache ubishi. Soma AYA ya pili kwenye barua niliyoambatanisha hapo ndiyo utajua mkweli na muongo.
View attachment 1467186
Wewe hapo mhafidhina ndugu zako wangapi wameugua na kufa. Tuwekee hapa vyeti vya vifo na majina yao. Maana huo ndio ushahidi pekekee zaidi ya hapo ni unafiki kama walivyo ubalozi wa Usa.Kila mtu anajua Corona ipo sana Tz, watu wanaugua kimya kimya na kuzikana kimya kimya pia. Serikali ilichokifanya ni kusitisha kutoa taarifa rasmi (ili kuhalalisha harakati za kimaisha ziendelee) lakini wakati huo huo taarifa za reja reja zikiendelea kuzagaa mitaani.
Hivyo ubalozi wa USA yuko sahihi kwa 100%, na hakuna ajabu yoyote kwa USA kutoa taarifa zenye lengo la kulinda raia wake waliopo hapa Tanzania. Ndio kazi iliyemleta Tanzania, na analipwa kwa kodi za wamerekani. Hatuwezi kumpangia cha kusema wala kufanya juu ya raia wa nchi yake.
Na sisi balozi wetu wa Tz aliyepo kule USA anapaswa kutoa taarifa za kulinda raia wa Tz waliopo huko USA au wanaotaka kwenda USA (ikiwezekana wasiende kabisa!) maana huko Corona ipo na kuna ghasia za maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi. Bahati mbaya balozi wetu huko USA yuko usingizini tu. Hajui anachotakiwa kufanya, sijui anasubiri kuambiwa na kina Bashiru au Pole Pole kitu cha kufanya
Kama majina unayo wewe uliyapata wapi? Na mbona hujayaweka. Una mamlaka gani ya kupata hayo majina?Tanzania inaficha hata idadi ya madaktari waliopukutika kama vumbi la kwenye kimbunga baadhi ya majina ninayo