COVID-19: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atangaza ongezeko la Wagonjwa Wapya 196. Visa vyafikia 480

COVID-19: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atangaza ongezeko la Wagonjwa Wapya 196. Visa vyafikia 480

Type taarifa zako za ukweli, au tuashumu Visa ni laki tatu na waliokufa hadi sasa ni laki mbili na elfhamsin make ndo habari mnazotaka kuzisikia nyinyi
angalia BBC swahili ya jana usiku na Salim Kikeke wamemaliza kila kitu mimi sina cha kuongezea
 
Hata akija hatakosa cha kukujibu na hayo majibu yake hayatakusaidia chochote!
Zaidi tuendelee kuchukua tahadhari tu!

Sent using kidole gumba
 
Wagonjwa tunajua wako wengi sana, maana hata mimi hapa nina dalili zote za corona lkn bado sijaenda kupima ili waniingize kwenye data zao.

Swali la msingi ni kuna vifo vingapi mpaka sasa?
Unforgetable
Huendi kupima unasubiri nini Sasa mkuu? Au unataka wao waotee kuwa wewe una corona ndio wakuingize kwenye data?
Au unasubiri hadi uambukize wengine hapo ili utabiri wako wa Idadi kuongezeka utimie mkuu??
 
Back
Top Bottom