COVID-19: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atangaza ongezeko la Wagonjwa Wapya 196. Visa vyafikia 480

COVID-19: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atangaza ongezeko la Wagonjwa Wapya 196. Visa vyafikia 480

Idadi ya waliokufa hakuna.
Bado hatujaambiwa waliopona (kama mkuu alivyosisitiza)

Bado hatuambiwi jumla ya watu waliofanyiwa vipimo.
Na je vipimo ni kwa mtu mwenye dalili peke yake?
Hatua nzur kwa kuujuza umma taarifa hizi
 
Vifo sita wakati kila kona ya nchi kwa kila mkoa watu wanazikwa kila siku!Wewe huna macho wala masikio?Naendelea kusisitiza kuwa siku wakitangaza vifo niite mbwa!
Hata kabla ya Covid -19 watu walikuwa wanakufa na kuzikana. Kwa hiyo hata waliokufa kwa magonjwa mengine unataka watangazwe?
 
Vifo sita wakati kila kona ya nchi kwa kila mkoa na kwa kila siku watu wanazikwa kila siku? Huna macho? Huna masikio? Wewe ni mbumbumbu wa kung'amua mambo?Bosheni/danganya macho unaziita ni vifo?
Hutaki tena kuitwa Mbwa? Unakigeugeu mbwa wewe
 
Gwajima huyu huyu! tangu ajirekodi kwenye ile clip yake ya xxvideos nimemdharau sana. Hata mwanamke awe mzuri vipi, siwezi kurekodi naye ule upuuzi. Tutamalizana kimya kimya.

Halafu alikuja kukanusha kupitia press conference huku pembeni akiwa na mke na wachungaji wake macho yake yakiwa makavuuu!! Eti wamei edit!! Pumbavu!!
 
Duuuuh! Tunaongoza EA kwa sasa! Wacha tu nchi majirani watutenge maana tunasambaza hili gonjwa makusudi sasa! Kama hatuchukui hatua proven na WHO na wataalamu wabobezi maana yake tunafanya makusudi mazima kulisambaza!

Hiki kiburi sijui kinatoka wapi! Ewe Mola wetu tuepushe na balaa hili.
hao WHO ndo baba yako au mama yako
 
Back
Top Bottom