COVID-19: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atangaza ongezeko la Wagonjwa Wapya 196. Visa vyafikia 480

COVID-19: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atangaza ongezeko la Wagonjwa Wapya 196. Visa vyafikia 480

Kuna uwezekano hizi data zimechakachuliwa...

Chukua figure yao then zidisha kwa factor ya 1.40 ili kupata data kamili...

480*1.4 = 672.

Kwangu mimi hili ndilo jibu sahihi.
Kwa nini umezidisha kwa 1.4 kiongozi??
 
Kenge wewe,nani kasema nasubiri serikali itangaze?Mimi nilimuiga JPM kitambo,familia yangu iko kijijini nimeipeleka huko mapema sana!Nimebaki mjini napambana mwenyewe huku nikuchukua tahadhari!Sasa wewe jidanganye umeambiwa upige kazi na usitishike wakati anayekuambia hivyo kakimbia na familia yake kujificha kijijini!Za kuambiwa changanya na zako!Period!
Mimi huyu punguani kanijibu pumba ila usibishane na pumbavu, watu hawataona tofauti kati yako na yeye. Mwache.
 
Kutoa sadaka kwa hawa umbwa ni dhambi!!
 
Kiburi kinaanzia kwa yule aliyewadanganya eti wafanye maombi na kazi tuuu! Double standard nayo imechangia. Leo lisemwe hili kesho msitishwe, keshokutwa maombi, mtondogoo mask lazima. Lipi tuchukue.
Jilinde na ulinde familia yako, ukiwa na Imani, basi ikulinde hiyo Imani, usimtusi aliye vaa masiks kisa wewe unaimani, hivyo hivyo Kwa mwenye Imani asmtusi mvaa barakoa kisa yeye anayoimani
 
Wakuu ....TUCHAPE KAZI haka kakorona ni kadogo tu kasitutishe
 
Siku za hivi Karibuni akihojiwa na mtangazaji Vivian Mwasha, Mtumishi na Mtume wa Mungu nabii Malisa, alituambia tusiwe na hofu kwa sababu corona tangu siku alipozungumza haitaua na hakutakuwa na Mgonjwa tena humu nchini.

Baada ya tamko lake mambo bado ni yaleyale yaani ongezeko la wagonjwa na hata vifo. Nabii Malisa embu njoo utoe ufafanuzi. Ni majuma mawili na nusu yamepita tangu utoe tamko lako.

Kwa upande wake Askofu Gwajima akihojiwa na 360 ya clouds Tv, majuma matatu yaliyopita alidai hofu ni kubwa kuliko corona yenyewe. Alituasa tusiogope kwani corona haitaua sana kama ifanyavyo huko USA, Spain na Italy.

Alisema corona itaondoka humu nchini kwa njia ileile iliyojia.
Kwa upande wake Apostle Dastun Maboya akiulizwa na Viviana Mwasha kwa njia ya simu kuhusu kauli ya Nabii na Mtume wa Mungu Malisa, alidai corona haina longolongo ya udini na unabii akiwawataka watu wazingatie usafi kwa kunawa mikono na kusikiliza ushauri wataalamu wa afya na viongozi wetu.
 
[emoji16][emoji16][emoji16].wabongo tuna tabu sanaa.
Haya tuwekee idadi yako sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashangaa sana kwa kweli sijui ni kutafuta sifa ama ni nini hasa sijajua, yaani mtu analizimisha vitu ambavyo havipo kwa makusudi kabisa, sijui ni kwa faida ipi hasa anayo ipata
 
Back
Top Bottom