Kwani wewe unasubiri lockdown ya serikali? Yaani utakuwa mbumbumbu wa kufa. Serikali ilishatoa tahadhali siku nyingi sasa wewe ni juu yako kusuka au kunyoa.Kenge mpaka atoke damu masikioni ndio anajua kuna hatari!
Mimi nawashangaa sana hao walamba miguu wa lumumba,wmpaka kwenye mauti bado wanashupaza shingo!@Bia yetuEtwege
na misukule wengine hawana utu wala uchungu na maisha ya watanzania,wao kutetea ugali kwanza!