RIP IN ADVANCEWagonjwa tunajua wako wengi sana, maana hata mimi hapa nina dalili zote za corona lkn bado sijaenda kupima ili waniingize kwenye data zao.
Swali la msingi ni kuna vifo vingapi mpaka sasa?
Unforgetable
angalia BBC swahili ya jana usiku na Salim Kikeke wamemaliza kila kitu mimi sina cha kuongezeaType taarifa zako za ukweli, au tuashumu Visa ni laki tatu na waliokufa hadi sasa ni laki mbili na elfhamsin make ndo habari mnazotaka kuzisikia nyinyi
Peleka ujinga huko na hao wachochezi wenzio mnaotafuta umaarufuangalia BBC swahili ya jana usiku na Salim Kikeke wamemaliza kila kitu mimi sina cha kuongezea
angalia BBC swahili ya jana usiku na Salim Kikeke wamemaliza kila kitu mimi sina cha kuongezeaWako wangapi mkuu?
kweli wewe mwalimu wa tuisheni😀Peleka ujinga huko na hao wachochezi wenzio mnaotafuta umaarufu
Hao hawajawasema mi nimenukuu tu mzee usinifunge kengele mwananchi mnyonge mimiVp ile namba 13 ya Arusha??
Vp waliozikwa kunduchi kwa kondo usiku wa manane?
Milembe hospital...Ubishi lazima death rate itakuwa zaidi ya elfu kumi kama kama tutaenda na takwimu sahihi
Hakuna kufa labda wewe kama umechoka kuishi tangulia.Ubishi lazima death rate itakuwa zaidi ya elfu kumi kama kama tutaenda na takwimu sahihi
Noted!Mimi huyu punguani kanijibu pumba ila usibishane na pumbavu, watu hawataona tofauti kati yako na yeye. Mwache.
... acha kuongea upuuzi mpuuzi wewe!hao WHO ndo baba yako au mama yako
Huendi kupima unasubiri nini Sasa mkuu? Au unataka wao waotee kuwa wewe una corona ndio wakuingize kwenye data?Wagonjwa tunajua wako wengi sana, maana hata mimi hapa nina dalili zote za corona lkn bado sijaenda kupima ili waniingize kwenye data zao.
Swali la msingi ni kuna vifo vingapi mpaka sasa?
Unforgetable
Nisaidie kunikumbusha kile kibwagizo ch TBC ni nini vile?Kwahiyo wakiwa zaidi ya hao unataka uwapike ule nyama? acha ujinga wewe
Ukifa wewe utakuwa wa 11Vifo bado ni 10?