COVID-19: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atangaza ongezeko la Wagonjwa Wapya 196. Visa vyafikia 480

COVID-19: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atangaza ongezeko la Wagonjwa Wapya 196. Visa vyafikia 480

Waziri mkuu ametangaza ongezeko la idadi la wenye virusi vya Korona

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Ametangaza Ongezeko la Wagonjwa Wapya wa Corona Nchini 196. Tanzania Bara Wagonjwa 174 na Zanzibar 22. Amesema kuwa visa vya maambukizi ya Virusi vya Corona nchini Tanzania vimeongezeka na kufikia 480.

Waziri Mkuu akinukuliwa, amesema...

''Kuanzia April 23 hadi Aprili 28,2020 tumepata wagonjwa wapya wa corona 196 ambapo kati ya hawa Bara wapo 174 na Zanzibar 22 ambao Waziri wa Afya Zanzibar ameshawatangaza, hii inafanya jumla ya visa vya corona Tanzania kufikia 480 kutoka 284 ambavyo vilitangazwa Aprili 22''

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Ametangaza Ongezeko la Wagonjwa Wapya wa Corona Nchini 196. Tanzania Bara Wagonjwa 174 na Zanzibar 22. Amesema kuwa visa vya maambukizi ya Virusi vya Corona nchini Tanzania vimeongezeka na kufikia 480.
MATAGA wanasema hiyo ni ndogo sana ukilinganisha na watanzania milioni 55, wanasema tuchape kazi ili serikali ipate kodi.
 
Vifo vip? Au vutatangazwa pamoja na waliopona.
Alafu napata mashaka ummy kasema hawatangazi maana hakuna maambukuzi mapya huyu anakuja kutangaza au ni mnawalisha maneno hawa viongozi
 
Kuna mpuuzi mmoja anajiita 1954 nadhani hivi sasa ataelewa ni wapi kuna maambukizi mengi kati ya Tanzania na Kenya!!

Na ukweli ni kwamba, hapo wamepunguza sana idadi hadi waliopoona aibu kwamba hawawezi kupunguza zaidi na kuamua kutaja hao 174!!

Na Misukule ya Lumumba na ile Misukule ya Jiwe, endeleeni tu kutetea ujinga cuz it's a matter of time kabla hamjaanza kuzika wazazi, waume na watoto wenu wakati mnayemtetea akiwa kajificha kijijini kwao
 
Watangaze na vifo maana naona hii ni pressure baada ya kutaka kuficha sana ila watu wanaeleza wanavyopoteza ndugu zao!
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Ametangaza Ongezeko la Wagonjwa Wapya wa Corona Nchini 196. Tanzania Bara Wagonjwa 174 na Zanzibar 22. Amesema kuwa visa vya maambukizi ya Virusi vya Corona nchini Tanzania vimeongezeka na kufikia 480.

Nimeona mahala hapa hapa JamiiForums kuna Uzi umeanzishwa ukimnukuu Mmoja wa Wataalam Wizara ya Afya Dokta Tumaini Haonga akijimwambafai kuwa kwa sasa hawatangazi tena Idadi ya Waathirika wa COVID-19 kwakuwa hakuna Cases mpya na kwamba wengi wanapona na wamepona. Je, hii taarifa ya sasa ya Premier Majaliwa inatoa au inatoa Ujumbe gani Kwetu Watanzania hasa juu ya Serikali na Udhibiti wa hili Janga baya lililoko sasa Duniani? Tumuamini nani hasa kati yao?
 
April 29, 2020
Dodoma, Tanzania

Live / mubashara
Mbowe anaongea na taifa kuhusu Covid-19
Kiongozi wa Upinzani Bungeni (KUB) na mwenyekiti wa chama cha CHADEMA Mh. Freeman Mbowe (Mbunge jimbo la Hai) aililia nchi yetu Tanzania kutokana na serikali kukosa mikakati kukabiliana na gonjwa la Covid-19

Mbowe aishauri Tanzania ijitokeze kimataifa na kikanda ikiongozwa moja kwa moja na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na Rais wa Serikali ya Mapunduzi Zanzibar kuongoza majadiliano na Mataifa mengine, vyombo kama WHO, SADC badala ya kuwaachia mawaziri kuongoza vita dhidi ya Covid-19
Source : millard ayo

Tanzania opposition slams 'state of denial' over coronavirus
Wednesday, April 29, 2020 22:46 WIB

Dar es Salaam, April 29, 2020 (AFP)
Tanzania's main opposition leader on Wednesday accused the government of hiding information on the coronavirus and failing to take the pandemic seriously.

Tanzania is one of few countries in Africa that has not taken extensive measures against the virus, and President John Magufuli is among a handful of world leaders still playing down the seriousness of the disease.

"Our cases are shooting up at an alarming rate while many countries are now flattening the curve," said Freeman Mbowe, of the opposition Chadema party, in a speech broadcast online.

Tanzania recorded its first case of coronavirus on March 16 -- and in a little over two weeks cases have leapt from 32 to 480 with 16 deaths.

While relatively small on a global scale, the growth is among the highest in East Africa, where most countries have implemented lockdowns, curfews, and strict social distanncing measures.

In Tanzania, schools and universities have been shut but markets, bus stops and shops bustle as usual. Opposition members have also criticised the government for waiting a week to announce new cases, after Magufuli on April 22 said the ministry of health was "causing panic".

"I have information that there are many people who recovered but these are not given priority in announcing. I see they are competing to announce new cases and deaths which are causing panic," the president said.

Prime Minister Kassim Majaliwa provided an update Wednesday amid mounting pressure to do so. Mbowe questioned the veracity of the numbers released. "We see people dying and their burials are supervised by the government under strict conditions but yet it is not telling us they died of coronavirus. There is no transparency and when people have no information, you provide room for rumours. The government is telling us only 16 died of coronavirus but this is a joke," he said.

Mbowe said that Magufuli, who has been staying in his home town of Chato in northwestern Tanzania since March 28, was in a "state of denial". Magufuli has claimed God would protect Tanzanians from the virus, and has urged people to keep working as usual.

"This is time to build our faith and continue praying to God and not depending on facemasks. Don't stop going to churches and mosques for prayers. I'm sure this is just a change of wind and it will go like others have gone," Magufuli said at a church in Dodoma last month.

Magufuli came to power as a corruption-fighting "man of the people" but has since been criticised for his authoritarian leadership style, with rights groups citing a crackdown on the media and critics during his rule. He is due to run for a second term in polls due in October.

Source : AFP
More info :

Gonjwa hili hatari lipo, tujikinge kwa kufuata maelekezo yanayotolewa na wizara ya Afya

HOW COVID-19 KILLS--I'm a Surgeon--And Why We Can't Save You



Source: Duc C. Vuong MD
 
Back
Top Bottom