jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,342
Hapa kati tutaongozwa na jaji?Uchaguzi ni 2025 bwashee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa kati tutaongozwa na jaji?Uchaguzi ni 2025 bwashee!
Unachukua takwimu
Yaani naongea kama Mchungaji madhabahuniMimi hapa ofisini kwangu kuna mteja kaja akagoma kunawa mikono nakusema korona imeshaisha Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuchelewa kutoa takwimu na taarifa ndiko kunafanya watu wajaze hiyo nafasi kwa takwimu zisizo sahihi. Ebu tujenga tabia ya kuwa na daily briefing; hata kama hakutakuwepo mgonjwa siku hiyo, watuambie kuwa leo hakuna mgonjwa, Tangu tarehe 23 hadi leo ni siku 6.Lakini pia amesema, katika kipindi hiki wameshuhudia upotoshaji mwingi unaoendelea kutoka kwa watu wasio na matendo mema hivyo wameepuka watu kutoa takwimu ambazo sio sahihi ambazo zimekuwa zikileta mtafuruko kwa jamii usio kuwa wa lazima.
Hahaha nadhani Mimi unayeniita mpuuzi naelewa zaidi kuliko wewe...sitaweza kufafanua zaidi ila ufahamu hivyo....Kuna mpuuzi mmoja anajiita 1954 nadhani hivi sasa ataelewa ni wapi kuna maambukizi mengi kati ya Tanzania na Kenya!!
Na ukweli ni kwamba, hapo wamepunguza sana idadi hadi waliopoona aibu kwamba hawawezi kupunguza zaidi na kuamua kutaja hao 174!!
Na Misukule ya Lumumba na ile Misukule ya Jiwe, endeleeni tu kutetea ujinga cuz it's a matter of time kabla hamjaanza kuzika wazazi, waume na watoto wenu wakati mnayemtetea akiwa kajificha kijijini kwao
Kama ni corona hii iliyopo duniani, hata wa kwenu watakufa na hasa wewe tena maiti yako itachukuwa muda kuonekana. Kwa kuwa unaishi kama digidigi.Kuna mpuuzi mmoja anajiita 1954 nadhani hivi sasa ataelewa ni wapi kuna maambukizi mengi kati ya Tanzania na Kenya!!
Na ukweli ni kwamba, hapo wamepunguza sana idadi hadi waliopoona aibu kwamba hawawezi kupunguza zaidi na kuamua kutaja hao 174!!
Na Misukule ya Lumumba na ile Misukule ya Jiwe, endeleeni tu kutetea ujinga cuz it's a matter of time kabla hamjaanza kuzika wazazi, waume na watoto wenu wakati mnayemtetea akiwa kajificha kijijini kwao
Nchi hii chini ya CCM imekuwa ikiongoza kwa data za uongo, kuanzia vita ya Kagera (sababu za vita na idadi ya askari wetu waliopoteza maisha), Chaguzi zote tangu enzi za chama kimoja hadi kesho ni za wizi in favour ya CCM, Ebola amekufa Daktari mtanzania....kapata kule Uganda na ushahidi upo serikali imeficha na sasa kwenye ugonjwa huu wa COVID-19. CCM na Magufuli wanaendelea kufanya nchi yetu kuwa ya ujima.Sio siri! SeriKALI inajiondolea uhalai wa kusimamia uchaguzi mkuu kupitia tume yake ya uchaguzi.
Taarifa zinatolewa kwa matakwa ya mtu mmoja! ambaye kwenye uchaguzi mkuu naye eti ni mfaidika! Unatarajia tuwaamini kweli?
Natoa wito, sisi wapigakura tunaona uchaguzi usimamiwe na Guterez.
Kwani kujifukiza ni ushirikina?Hata timu yako ya mpira ikifungwa, siyo vibaya kushangilia timu pinzani.Uta-support hata ushirikina wa kufukizwa na majani ya migimba mpaka lini? Kuna ya ku-support na mengine ya kukaa kimya tu.
Who is Guterez?Sio siri! SeriKALI inajiondolea uhalai wa kusimamia uchaguzi mkuu kupitia tume yake ya uchaguzi.
Taarifa zinatolewa kwa matakwa ya mtu mmoja! ambaye kwenye uchaguzi mkuu naye eti ni mfaidika! Unatarajia tuwaamini kweli?
Natoa wito, sisi wapigakura tunaona uchaguzi usimamiwe na Guterez.
Hakuna tusi kubwa ulilowahi kutukanwa kama ulivyoambiwa jifukizie ila nashangaa ulipiga kimya na sasa hivi unajifanya kuwaonea huruma wanaopenda kutukanwa!Mbona unapendwa kutukanwa sana mkuu?
Kwani kujifukiza ni ushirikina?
Once a legend said "If you are good at something, never do it for free"
Yaani mtu unaweka ahadi kwa kitu ambacho hauna control nacho na unaruhusu watu wakutukane.Hakuna tusi kubwa ulilowahi kutukanwa kama ulivyoambiwa jifukizie ila nashangaa ulipiga kimya na sasa hivi unajifanya kuwaonea huruma wanaopenda kutukanwa!
Na DJHapa kati tutaongozwa na jaji?
Nimeuliza kuhusu kujifukiza.Hata polisi hawamsikilizi tena. Mwishoe watamchomoa. Alisema mask zina virusi vya corona lakini polisi wamemdharau na kulazimisha wasafiri katika daladala kuvaa mask. Kama hauna unatelemshwa.