COVID-19: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atangaza ongezeko la Wagonjwa Wapya 196. Visa vyafikia 480

Hata PM na Ummy pia wamempotezea sasa. Wanavaa mask alizosema zimewekewa virusi vya corona. Haya yote mawazo yake ni ya kichawi. Kama unamwamini utakuwa mchawi pia.
Nimeuliza kuhusu kujifukiza.
Ila hio unayowaza ni ndoto, mapolisi.

Once a legend said "If you are good at something, never do it for free"
 
Hata PM na Ummy pia wamempotezea sasa. Wanavaa mask alizosema zimewekewa vizuri vya corona. Haya yote mawazo yake ni ya kichawi. kama unamwamini utakuwa mchawi pia.
Dah, wewe mkuu unakimbia swali.
Kujifukiza ni ushirikina?

Once a legend said "If you are good at something, never do it for free"
 
Kaulize huyo mwenye imani za kishikina mwenzio huko chattle.
Dah, wewe mkuu unakimbia swali.
Kujifukiza ni ushirikina?

Once a legend said "If you are good at something, never do it for free"
 
Tukipata vipimo vile vya Senegal vya TZS 2300 kila anayejisikia atakuwa anajipima mara moja kwa wiki ili kama amepata maambukizi aanze kupambana nao mapema kabla mwili haujaanza kuonyesha dalili ambazo hupelekea kifo
 
Unacheka wakati watu wanakufa na kuzikwa usiku katika makumi na makumi kwa sababu ya maamzi ya kijinga ya mtu mmoja?
Una uhakika na hizo taarifa. Na wewe je umeshuhudia hayo makumi ya wanaokufa.?
Swali naomba unijibu.

Once a legend said "If you are good at something, never do it for free"
 

Yule usimjibu sababu analipwa kwa anacho andika
 
Hata timu yako ya mpira ikifungwa, siyo vibaya kushangilia timu pinzani.Uta-support hata ushirikina wa kufukizwa na majani ya migimba mpaka lini? Kuna ya ku-support na mengine ya kukaa kimya tu.


Prof Kutoka Tabora​


Nionyeshe ushirikina kwenye hili, wewe badala ya kujikinga unawaza kwamba Mabeberu ndio wenye dawa kuliko kutumia njia halisi za kujikinga. Covid-19 haina dawa hadi hivi sasa huko hospitalini wanaenda kukuwezesha kupumua tu hadi immunity yako iweze kukupigania ubaki hapa duniani. Kama unayo dawa twambie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…