COVID-19: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atangaza ongezeko la Wagonjwa Wapya 196. Visa vyafikia 480

COVID-19: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atangaza ongezeko la Wagonjwa Wapya 196. Visa vyafikia 480

Ujiranini kusini mwa Kenya kunateketea. Visa 196 vipya vya maambumbikizi ya korona vyariopotiwa kwa mpigo. Idadi ya maambukizi yafikia 480 na vifo 16.
 
hapa cha msingi kila mtu asubiri hapo alipo lolote linaweza tokea muhimu ni kua karibu na Mwenyezi Mungu na kumuomba aepushe ila hizi takwimu mimi sina hata imani nazo
 
Naona ushajiandaa kufanya unabiii sasa huoni pa kuanzia. Vipi kuna wa familia yako wamesahaulika?
Kwa hiyo wewe unaombea wengine mabaya siyo? Basi ugua na wewe idadi iongezeke au hata wanafamilia yako km unataka idadi kubwa.
yaani we jamaa hamnazo kabisa, serikali yako haipimi mtu akiwa mzima lakini inapima mtu akishakufa na inazuia mwili, sasa jiulize maiti zilizozuiliwa na serikali ni ngapi mpaka sasa, mtaani kwetu zilizuia 2 na hata ndugu hawakuruhusiwa kuona mwili
 
Duuuuh! Tunaongoza EA kwa sasa! Wacha tu nchi majirani watutenge maana tunasambaza hili gonjwa makusudi sasa! Kama hatuchukui hatua proven na WHO na wataalamu wabobezi maana yake tunafanya makusudi mazima kulisambaza!

Hiki kiburi sijui kinatoka wapi! Ewe Mola wetu tuepushe na balaa hili.
Tuna rais mwenye akili kuliko watu wote duniani na ndo maana alikuwa mwalimu wa kemia shule ya secondary huko maporini
 
Does anybody know how many tests Tanzania has done or even daily tests it is doing? How long is Tanzania taking before reporting confirmed confirmed cases? How people are being traced and tested or who are they target testing?
Tanzania is doing way better than Kenya, we lost track of what we are doing. Hopefully someone will assist me with this information.
 
Wakuu Mimi naona kila mmoja achukue hatua kivyake. Usimuamini mtu yoyote ambaye mnakutana nae (assume nae anayo corona).

Najua fika Magufuli hawezi kufanya chochote kukabili janga la Corona, kamwe hawezi kuifunga Dar na kuchukua hatua zingine, maneno yake yameshamfunga tayari so hataki kuonekana dhaifu.

Nampongeza Magufuli kwa kutofanya lock down maana hata hizo nchi zilizopo kwenye lock down wanataka watoke nje wakafanye kazi.

Naomba Magufuli afanye tu partial lockdown kufunga ukumbi za disco n.k
Mbona huku mwanza villa bar wamefunga?.

Kinginee wakubwa tuchukue tahadhari hali ni mbaya tu wakubwa, ninao marafiki zangu kibao wako intern sehemu mbali mbali hapo Dar,


Chukua tahadhari CORONA ipo, UKIMWI UPO, MALARIA HIPO.
 
yaani we jamaa hamnazo kabisa, serikali yako haipimi mtu akiwa mzima lakini inapima mtu akishakufa na inazuia mwili, sasa jiulize maiti zilizozuiliwa na serikali ni ngapi mpaka sasa, mtaani kwetu zilizuia 2 na hata ndugu hawakuruhusiwa kuona mwili
Chukua tahadhari ujikinge wewe na uwapendao acha porojo
 
yaani we jamaa hamnazo kabisa, serikali yako haipimi mtu akiwa mzima lakini inapima mtu akishakufa na inazuia mwili, sasa jiulize maiti zilizozuiliwa na serikali ni ngapi mpaka sasa, mtaani kwetu zilizuia 2 na hata ndugu hawakuruhusiwa kuona mwili
Ulichoandika umekisoma?

Unamaanisha walioongezeka leo Maana yake wote ni maiti ndo wamepimwa na serikali au Jana ulilala bar siyo? Jinga kabisa wewe
 
Ma bibi na ma bwana WE ARE AT WAR!!!!

Nimegundua muda mrefu saana kama kuna strategy ya vyombo vinaongea na wajinga nikimaanisha wasiojua wengi Tanzania wachache wanaojua wanakuwa ignored

Unapokea NEWS UNAKUWA FUSTRATED HOW UA INTELLIGENCE IS INSULTED.. INTENTIONALLY

SO WE MEET JAMII AND GET RIDICULED

LETS REACT... HAISAIDII KULALAMIKA CHATO.. LOCKDOWN.. BAR.. FELI.. MAKANISANI..

WHO CARES !!
 
Wanavaa suti kumbe wanadanganya umma siyo?
CCM wanataka watanzania wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi wa October, wanashusha idadi ya vifo na kuongeza idadi ya waliopona ili watanzania waone corona covid 19 siyo Ugonjwa wa kutosha waendelee kukaa vijiweni vibarazani kwa vikundi mikusanyiko waambukizane kwa bidii wafe kwa wingi ili WHO watoe msaada wa pesa nyingi kwa Serikali ya CCM
 
Ubishi lazima death rate itakuwa zaidi ya elfu kumi kama kama tutaenda na takwimu sahihi
Mkuu, tujionee huruma basi, ikiwa hivyo utapata wapi sasa wakukupigia Kura mkuu, mambo yasiyofaa kuwekwa kwenye siasa za kijinga ni kuombea vifo viongezeke sio Tu vifo hata maambukizi pia
 
chukua hatua jilinde wewe na watu wako wa karibu.
wenye taarifa hawataki sasa kutoa taarifa utawalazimisha ama ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Waziri wa Afya kakwepa Lawama baada ya kupita mitandaoni na kugundua watanzania wanajua taarifa zake huwa ni za kutengeneza, kawa Mjanja kaamua kumtupia mpra waziri mkuu ambaye akiingia mitandaoni atajutia kauli zake
 
Back
Top Bottom