minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Umuhimu wa kukaa vijiweni vibarazani mikusanyiko kuendelea kueneza maambukizi ndiyo umeupenda zaidi siyo?Mpaka dakika hii sijaona umuhimu wa kutangaza idadi ya vifo.
MAGUFULI4LIFE.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umuhimu wa kukaa vijiweni vibarazani mikusanyiko kuendelea kueneza maambukizi ndiyo umeupenda zaidi siyo?Mpaka dakika hii sijaona umuhimu wa kutangaza idadi ya vifo.
MAGUFULI4LIFE.
Mbele kwa mbele corona iteketeze watanzania wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu na kupata pesa nyingi toka WHOccm mbele kwa mbele , hatimaye Tanzania nambari wani afrika mashariki. ccm mbele kwa mbele.
Inamaana hatujafika kilele tu?Bado sana Yani ndo kwanzaaaa,
Kama tatizo ni hilo mbona kila siku tunatangaziwa tuepuke mikusanyiko isiyo na lazima? Kuna haja gani ya kutangaza vifo kama mnavyotaka vitangazwe kila dakika?Umuhimu wa kukaa vijiweni vibarazani mikusanyiko kuendelea kueneza maambukizi ndiyo umeupenda zaidi siyo?
Kwa hiyo unasema ni 1000 na sio 480 ambayo PM kasema?Wacha uongo we sema tu tuna wagonjwa 1000 ndio roho yako itatulia. Then wiki ijayo sema tuna wagonjwa 10,000 hapo utafarijika.
Sema ukweli da'mangeSasa, simgeendelea kuficha kuliko , kutangaza Uongo.
Mkuu tupambane na Corona kwanza......hayo ya uchaguzi yasubiri!Sio siri! SeriKALI inajiondolea uhalai wa kusimamia uchaguzi mkuu kupitia tume yake ya uchaguzi.
Taarifa zinatolewa kwa matakwa ya mtu mmoja! ambaye kwenye uchaguzi mkuu naye eti ni mfaidika! Unatarajia tuwaamini kweli?
Natoa wito, sisi wapigakura tunaona uchaguzi usimamiwe na Guterez.
Watu hawaghairi kula kwa kua wamefiwa!Mkuu tupambane na Corona kwanza......hayo ya uchaguzi yasubiri!
Uchaguzi ni 2025 bwashee!Watu hawaghairi kula kwa kua wamefiwa!
Mazishi yanapangwa na misosi inaliwa kadhalika.
Wacha uongo wasemaji wa taarifa za huu ugonjwa ni wanne tu. Rais, Makamu wa rais, Waziri mkuu na Waziri wa Afya.
Waziri mkuu yupo kwenye list kama limekukera shauri yako.
Mbona unapendwa kutukanwa sana mkuu?Vifo sita wakati kila kona ya nchi kwa kila mkoa watu wanazikwa kila siku!Wewe huna macho wala masikio?Naendelea kusisitiza kuwa siku wakitangaza vifo niite mbwa!