COVID19 Tanzania: Wagonjwa wapya 35 waongezeka; idadi yafikia 88 (Aprili 15, 2020)

Maambukizi yakifika vijijini hali itakua mbaya zaidi, FUNGENI MIKOA YENYE WAGONJWA!!! sasa hivi watu wanawaza kukimbilia mikoa mingine na hatujui wanaowaza hivyo ni wangapi tayari wameathirika 😡
 


Kaamua kuadhibu dunia nzima??
 
Mzaha mzaha hutumbua usaha. Wale waliokua wakidharau huu ugonjwa tangu mwanzo soon watakula matapishi yao.
Wacha niendelee kukaa ndani tu kama mwali.

Wewe una jishughulisha na nini?


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Viongozi wa hii nchi asee sijui wanawaza nini ilikuwa ishu simple sana kupiga lockdown DSM na Arusha tangu mwanzo ambapo hata kuwapa msaada ingekua rahisi sasa wanasubiri uenee nchi nzima wataweza kufunga nchi nzima na kuwasaidia watu?

Calculation rahisi sana zinawashinda hii nchi wanaongoza vipi kwani hawa binadamu? Namba zimeanza kukimbia kwa kasi ya ajabu 25 per day si mchezo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
serikali ikowapi kile kikosi kazi cha watu wasiojulikana sasa ndo muda wake kupambana na huyu adui corona asiyeonekana
 
Hivi sikuku si zimeisha? Mbona walioenda Chato hawarudi maofisini.
 
Mshana Jr yuko wapi?

Total lockdown bado tu muda wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…