The Transporter
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,580
- 7,203
Mbona wewe unawaza nje ya box yaani unajipa tumaini la chanjo wakati hakuna mkakati hata wa kupata chanjoUsijipe matumaini hewa. Bila chanjo corana itatesa sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona wewe unawaza nje ya box yaani unajipa tumaini la chanjo wakati hakuna mkakati hata wa kupata chanjoUsijipe matumaini hewa. Bila chanjo corana itatesa sana.
Wanasema wanetoa magari mapya 25 ya kuwapeleka wapangazaji wachaoakazi mortuary
Chanjo hao 1st World tu hawana wanateseka mpaka sahivi nyie kajamba nani mnapiga hesabu za Chanjo?Mbona wewe unawaza nje ya box yaani unajipa tumaini la chanjo wakati hakuna mkakati hata wa kupata chanjo
Sawa mpendwa kesho nipokee stendNjoo tujifiche Moshi mama, huko DSM kushaoza tayari. Arusha napo sipaamini kwa baridi ile virusi kukushika ni chap.
Pole sanaa...Naumia sana maana nina ndugu wengi wana HIV,ninalia kwa ajili yao. This Covid is becoming worse and worst.
Nasema hivi bila chanjo mfumo wa maisha tuliozoea ndio ushabadilika dunia nzima.Mbona wewe unawaza nje ya box yaani unajipa tumaini la chanjo wakati hakuna mkakati hata wa kupata chanjo
Warmly welcome my dear! Mapema sana nakungojea.Sawa mpendwa kesho nipokee stend
yani kenya tu hapo kila siku wanaongezeka pamoja na lockdown na watu wanalia njaa wanataka kutoka alafu jitu kisa lipo kwa shemeji yake linalilia lockdownSalary Slip, Wewe kila kitu kulaumu!!
Tuombeni Mungu kwani wangapi walichukua tahadhari na bado ugonjwa ukasambaa? Unatamani lock down wananchi wataishije? Kisa unalala na kunywa kwa nguvu ya wengine ? Tuombeni Mungu tupunguze lawama!
Sent using Jamii Forums mobile app
Naumia sana maana nina ndugu wengi wana HIV,ninalia kwa ajili yao. This Covid is becoming worse and worst.
Corona nikama ugonjwa wa mafua na haina madhara kwa mtu mweusi
Mshangae huyo anakwambia eti corona haiwezi kwisha bila chanjoChanjo hao 1st World tu hawana wanateseka mpaka sahivi nyie kajamba nani mnapiga hesabu za Chanjo?
Mpwa [emoji23][emoji38]Aaah imekuaje tena idadi iongezeke na wakati ni juzi tu hapo Yesu katoka kufufuka?
Mkuu huna sababu ya kutukana watu,wewe kachape kazi usife na njaa,Magufuli kishatoa magari mapya ,25 ya kuwapeleka kazini na makonda katangaza guest 25 za kulala bure Kama umepiga kazi sana na ukaona kurudi home kwako ni kupoteza muda,please kachspe kaziHii mijama ni zaidi ya mipumbavu mkuu, yani kenya tu hapo kila siku wanaongezeka pamoja na lockdown na watu wanalia njaa wanataka kutoka alafu jitu kisa lipo kwa shemeji yake linalilia lockdown
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikiliza tena clip ya Makonda utajua aliwaambia wafanyeje.Kwahiyo wafanyeje Sasa?
Ndio kwanza bei ya sukari inapaa.Bei za mahitaji muhimu zishuke tafadhali ..bei bei za mahitaji muhimu Selikari zishuke.
Sent using Jamii Forums mobile app