COVID19 Tanzania: Wagonjwa wapya 35 waongezeka; idadi yafikia 88 (Aprili 15, 2020)

COVID19 Tanzania: Wagonjwa wapya 35 waongezeka; idadi yafikia 88 (Aprili 15, 2020)

Naumia sana maana nina ndugu wengi wana HIV,ninalia kwa ajili yao. This Covid is becoming worse and worst.
Pole sanaa...
Nimejarb kuangalia reaction yyt inayofaa kwa comment yako nikakosa ikabd niku quote tuu..
Pole
 
Salary Slip, Wewe kila kitu kulaumu!!

Tuombeni Mungu kwani wangapi walichukua tahadhari na bado ugonjwa ukasambaa? Unatamani lock down wananchi wataishije? Kisa unalala na kunywa kwa nguvu ya wengine ? Tuombeni Mungu tupunguze lawama!

Sent using Jamii Forums mobile app
yani kenya tu hapo kila siku wanaongezeka pamoja na lockdown na watu wanalia njaa wanataka kutoka alafu jitu kisa lipo kwa shemeji yake linalilia lockdown

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii mijama ni zaidi ya mipumbavu mkuu, yani kenya tu hapo kila siku wanaongezeka pamoja na lockdown na watu wanalia njaa wanataka kutoka alafu jitu kisa lipo kwa shemeji yake linalilia lockdown

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huna sababu ya kutukana watu,wewe kachape kazi usife na njaa,Magufuli kishatoa magari mapya ,25 ya kuwapeleka kazini na makonda katangaza guest 25 za kulala bure Kama umepiga kazi sana na ukaona kurudi home kwako ni kupoteza muda,please kachspe kazi
 
Back
Top Bottom