Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Katibu wa Itikadi ,uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Mheshimiwa CPA Amos Gabriel Makalla anatarajia kuzungumza masuala mazito na waandishi wa habari wa ndani na nje ya Nchi muda wa saa nne Asubuhi ya Leo Ijumaa ya tarehe 29.
Ambapo msemaji huyo wa CCM chama kiongozi Barani Afrika na chama kilichobeba matumaini ya mamilioni ya watanzania anakuja kuzungumza Na Taifa pamoja na Duniani nzima wakati CCM ikiwa imeshinda na kupita kwa kishindo kikuu kilicho itetemesha Dunia nzima.
Ikumbukwe ya kuwa CCM ndio hutoa muelekeo wa Taifa letu katika masuala mbalimbali.hivyo muda huo wa leo kutatolewa muelekeo wa mambo mbalimbali kwa Taifa , ambayo hupaswi ewe mtanzania kukosa kuwa karibu na Tv yako hata kwa kusogea tu kwa jirani yako mnaye elewana naye vizuri.
CCM ndio hutoa Dira na mstakabali wa Taifa letu na namna ya kusonga mbele.kwa hiyo tegemeeni kusikia na kupata mambo mazito mazito kutoka kwa Katibu wetu ambaye ni mtaalamu wa masuala ya uhasibu na msomi wa kiwango cha juu sana na ambaye ndiye msemaji wa chama msomi zaidi kwa vyama vyote vilivyopo hapa Nchini vyenye usajili wa kudumu.
Tayari taarifa zinaonyesha kuwa vyombo mbalimbali vikubwa kutoka Duniani kwote vimeshatuma wawakilishi wao haraka sana kwa ajili ya kushiriki mkutano huo utakao rushwa mbashara kwa ajili ya kuzungumza na Dunia nzima. Taarifa zinaendelea kuonyesha kuwa kutakuwa na mafuriko Makubwa ya waandishi wa habari ambao wanatarajiwa kumiminika kwa wingi sana.
Kama kuna shughuli ulipanga kufanya au kutoa tamko au taarifa. basi ni bora usubiri wiki hii ipite kwanza maana habari kuu itakuwa ni moja tu juu ya Taarifa na habari za CCM tu
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.