Pre GE2025 Makalla: Lissu na wenzake hawana ubavu wa kuzuia uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

the guardian 17

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
395
Reaction score
570
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayehusika na Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, amewataka Watanzania kupuuza madai ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwamba uchaguzi hautafanyika bila mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi.

Akizungumza siku ya Jumanne Machi 4, 2025 katika kikao cha viongozi wa CCM wa mashina, kata, matawi na mabalozi wa Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam, Makalla amesema kuwa CHADEMA inakosea kuwaambia wafuasi wao wasijiandikishe kwa madai kuwa hakutakuwa na uchaguzi.

Ameendelea kusisitiza kuwa uchaguzi utafanyika kwa mujibu wa sheria na katiba, na kwamba madai ya CHADEMA kwamba "No Reform, No Election" ni propaganda zisizo na msingi.

Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kauli yake inakuja huku mijadala ikiendelea kuhusu mustakabali wa uchaguzi na msimamo wa vyama vya siasa juu ya mazingira ya kisiasa nchini Tanzania.
 
View attachment 3258488

Ni kweli kabisa kwamba hakuna uwezekano wa kuzuia kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu Mwaka huu wa 2025.

Aidha, ni kweli kabisa kwamba Hoja za Watu wa CHADEMA ni za kweli, pia ni za msingi. Hoja zao zina mashiko kuhusiana na Kukosekana kwa Mamlaka zinazoaminika kwa ajili ya kusimamia Uchaguzi ulio huru, wa HAKI na ulio wa Wazi.

Jambo la muhimu zaidi la kuzingatiwa ni kwamba: KAMWE CCM HAITAWEZA KUKUBALI KWA HIYARI KUBADILISHA MIFUMO YA UCHAGUZI. NA KAMWE CCM HAITAWEZA KUKUBALI KWA HIYARI KUBADILISHA KATIBA YA NCHI.

KAMWE HAUPO KABISA UWEZEKANO WA KUBADILISHA KATIBA YA NCHI KWA NJIA ZA KIDEMOKRASIA. HAUPO UWEZEKANO!

Kwa bahati mbaya sana, huu ndio Ukweli mchungu Sana kupita kiasi!
 
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayehusika na Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, amewataka Watanzania kupuuza madai ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwamba uchaguzi hautafanyika bila mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi.

Akizungumza siku ya Jumanne Machi 4, 2025 katika kikao cha viongozi wa CCM wa mashina, kata, matawi na mabalozi wa Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam, Makalla amesema kuwa CHADEMA inakosea kuwaambia wafuasi wao wasijiandikishe kwa madai kuwa hakutakuwa na uchaguzi.

Ameendelea kusisitiza kuwa uchaguzi utafanyika kwa mujibu wa sheria na katiba, na kwamba madai ya CHADEMA kwamba "No Reform, No Election" ni propaganda zisizo na msingi.

Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kauli yake inakuja huku mijadala ikiendelea kuhusu mustakabali wa uchaguzi na msimamo wa vyama vya siasa juu ya mazingira ya kisiasa nchini Tanzania.
View attachment 3258488
CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu, pigo lililonyooka, pigo takatifu.
 
Maandamano ni makubwa mno!

Utabadili kauli hii moto ukiwaka!
 
Nguvu ya imma ndio itakayozuia na sio Lissu. Subirini somo liendelee kueleweka kwa wananchi
 
Njua unaugullia maumivu ya kukosa ubunge wa viti maalum ulioahidiwa na danga lako Mbowe.
Andika utoto upendavyo Ila haitaondoa ukweli aliosema Makalla….. hizo ajenda za huyo chiba wenu sio rahisi kubebwa na changudoa Kama wewe au wenzenu.
 
Tetesi: Kuna dalili viongozi wa CCM kuwa wakimbizi October 2025, kisa maandamano makubwa ya kupinga uchaguzi!
 
Andika utoto upendavyo Ila haitaondoa ukweli aliosema Makalla….. hizo ajenda za huyo chiba wenu sio rahisi kubebwa na changudoa Kama wewe au wenzenu.
Kumbuka No Reform No Election haikuletwa na Lissu iliasisiwa na danga lako Mbowe na kupitishwa na mkutano mkuu wa Chadema, wewe una hasira binafsi ya kukosa ubunge wa viti maalum ulioahidiwa. Tuliza kishuzi wanaume wapige kazi.
 
Punguzeni hallucinations na illusions mtapata kichaa soon
 
Wewe tayari umeshawehuka shock ya tarehe 21 January hado haijakutoka.
Haha uzuri namna mnavyochangia mnajionesha wazi mlivyo watoto!! Si Lissu wala nyie malaya wa kimboka mtakaoweza kuzuia uchaguzi tupo hapa!!
 
Na kahaba kama wewe tunakupuuza tu kafie mbali na UTI sugu yako
 
Teh Teh Teh Teh….. mwenzenu anawaimbisha pambio ana tiketi zake mfukoni kikimchonyota kidogo anakimbilia kuperembwa ubelgiji nyie mmekazana na upuuzi hapa 😂😂😂😂
 
Kumbuka No Reform No Election haikuletwa na Lissu iliasisiwa na danga lako Mbowe na kupitishwa na mkutano mkuu wa Chadema, wewe una hasira binafsi ya kukosa ubunge wa viti maalum ulioahidiwa. Tuliza kishuzi wanaume wapige kazi.

..kwa yaliyofanyika 2019, 2020, na 2024, hakuna matumaini ya kuwepo uchaguzi 2025.
 
Teh Teh Teh Teh….. mwenzenu anawaimbisha pambio ana tiketi zake mfukoni kikimchonyota kidogo anakimbilia kuperembwa ubelgiji nyie mmekazana na upuuzi hapa 😂😂😂😂
Bado unaugulia maumivu ya kukosa ubunge wa vitu maalum, utaongea kila upuuzi lakini ndiyo hivyo kisichoriziki hakiliki, jitahidi tu umzalie Mbowe mtoto mwingine hiyo ndiyo bima yako dada.
 
Back
Top Bottom