Pre GE2025 Makalla: Lissu na wenzake hawana ubavu wa kuzuia uchaguzi

Pre GE2025 Makalla: Lissu na wenzake hawana ubavu wa kuzuia uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Na Mwandishi Wetu, Jamhuri Mwedia, Dar es Salaam.

Akizungumza katika mkutano wa viongozi wa chama na jumuiya ngazi ya shina, tawi, kata na wilaya katika Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es salaam CPA, Makalla amesema kuwa CHADEMA inafanya Makosa kuwahadaa wananchi wasijiandikishe kwa madai kuwa hakutakuwa na uchaguzi.

Amesisitiza kuwa uchaguzi utafanyika kwa mujibu wa sheria na katiba, na kwamba madai ya CHADEMA kwamba “No Reform, No Election” ni propaganda zisizo na msingi na hivyo zipuuzwe.

Vilevile amewataka wenyeviti wa serikali za mitaa waliochaguliwa katika uchaguzi uliofanyika Novemba Mwaka jana kutanguliza huduma na utumishi kwa wananchi wao, kwani waliomba utumishi na wawakiwakilishe chama kama walivyoaminiwa.
 
Attachments

  • 1741097130207.jpg
    1741097130207.jpg
    10.4 KB · Views: 1
Ni kweli kabisa kwamba hakuna uwezekano wa kuzuia kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu Mwaka huu wa 2025.

Aidha, ni kweli kabisa kwamba Hoja za Watu wa CHADEMA ni za kweli, pia ni za msingi. Hoja zao zina mashiko kuhusiana na Kukosekana kwa Mamlaka zinazoaminika kwa ajili ya kusimamia Uchaguzi ulio huru, wa HAKI na ulio wa Wazi.

Jambo la muhimu zaidi la kuzingatiwa ni kwamba: KAMWE CCM HAITAWEZA KUKUBALI KWA HIYARI KUBADILISHA MIFUMO YA UCHAGUZI. NA KAMWE CCM HAITAWEZA KUKUBALI KWA HIYARI KUBADILISHA KATIBA YA NCHI.

KAMWE HAUPO KABISA UWEZEKANO WA KUBADILISHA KATIBA YA NCHI KWA NJIA ZA KIDEMOKRASIA. HAUPO UWEZEKANO!

Kwa bahati mbaya sana, huu ndio Ukweli mchungu Sana kupita kiasi!
Raisi ameunda baraza la Uchaguzi kushughulikia kero zote na kuzirekebisha.
Chadema wamejitiwa kwenye hili kongamano.
Kwa mfano hakuna mgombe kupita bila kupingwa kw maana asipigiwe kura.
Na nyenginezo.
 
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayehusika na Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, amewataka Watanzania kupuuza madai ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwamba uchaguzi hautafanyika bila mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi.

Akizungumza siku ya Jumanne Machi 4, 2025 katika kikao cha viongozi wa CCM wa mashina, kata, matawi na mabalozi wa Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam, Makalla amesema kuwa CHADEMA inakosea kuwaambia wafuasi wao wasijiandikishe kwa madai kuwa hakutakuwa na uchaguzi.

Ameendelea kusisitiza kuwa uchaguzi utafanyika kwa mujibu wa sheria na katiba, na kwamba madai ya CHADEMA kwamba "No Reform, No Election" ni propaganda zisizo na msingi.

Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kauli yake inakuja huku mijadala ikiendelea kuhusu mustakabali wa uchaguzi na msimamo wa vyama vya siasa juu ya mazingira ya kisiasa nchini Tanzania.
View attachment 3258488
Kama ni Lisu na chadema pekee ,Comrade huna haja ya iuhofia lolote!Lakini baada ya kuvunja Bunge na serikali halafu wapate sapoti ya Dola kwenye hilo Kuna haja ya kamati kuu kutetemeka kwa hofu kuu!!

Na kuepusha Hilo chama chetu ccm kifanye tathmini kama Kuna nyufa kati yetu na dola tumezitengeneza kiutendaji au kupuuza matakwa yake na kuyajenga coz Dola ndio huamua ishikwe na chama kipi na sio chama ndio huamua kuishika dola!!

Nadhani umenielewa comrade!
 
Bado unaugulia maumivu ya kukosa ubunge wa vitu maalum, utaongea kila upuuzi lakini ndiyo hivyo kisichoriziki hakiliki, jitahidi tu umzalie Mbowe mtoto mwingine hiyo ndiyo bima yako dada.
Teh teh teh teh mwenzenu ana tiketi yake mfumoni…. Basha ake anamsubiri any time kule…. Mtapata kichaa bure kutamani visivyowezekana!
 
Mkuu ni akina nani sasa? Au wewe siyo mTanzania? Au ndiyo kukata tamaa tayari.
Wanaosema No rwform No election! Hii sio ajenda ya watanzania…. Ni ajenda ya baba tumbotumbo Lissu!
 
Kweli kabisa kushiriki uchaguzi kwa condition zile zile kisha utegemee matokea tofauti ni wendawazimu kabisa.
Nyie kaeni pembeni Vipo vyama vitashiriki Kama vile CUF… ADA TADEA, UDP, ACT, TLP, SAU, DP na vingine vingi!! Hivi hamsikii aibu chama kimoja kujifanya muhimu mbele ya hivi vyama vyote? Kama hamna mikakati ya kushiriki chaguzi kaeni pembeni hizo fujo zitaishia mahambe ikungi…..
 
Uchungu wa kukosa ubunge wa viti maalum unakusumbua sana, hamia CCM watakufikiria. Povu lote hili kwa ajili ya danga lako tu, kweli wapambe mna nguvu, yaani unapambana kuliko hata anavyopambana mwenye mali Dr. Lilian Mtei
 
Uchungu wa kukosa ubunge wa viti maalum unakusumbua sana, hamia CCM watakufikiria.
Nakuona kichaa kwakua hapo hapo unasema CCM haiwezi kuacha mpate wabunge tena unaongea habari za viti maalumu tena kwa mwanaume!! Tukiwaambia Lissu kazungukwa na bunch of thugs mnalia 😂
 
Nakuona kichaa kwakua hapo hapo unasema CCM haiwezi kuacha mpate wabunge tena unaongea habari za viti maalumu tena kwa mwanaume!! Tukiwaambia Lissu kazungukwa na bunch of thugs mnalia 😂
Wewe basha wako si aliahidiwa majibo 40 na wewe alikuahidi ubunge wa viti maalum
 
Teh teh teh teh mwenzenu ana tiketi yake mfumoni…. Basha ake anamsubiri any time kule…. Mtapata kichaa bure kutamani visivyowezekana!
Na wewe basha wako Mbowe yupo kichogoni sasa hivi anakupumulia pumzi ya moto.
 
Na wewe basha wako Mbowe yupo kichogoni sasa hivi anakupumulia pumzi ya moto.
Teh Teh Teh Mbowe Hana hyo michezo Kama Lissu!! Sagai galgano hnapeleka moto kwa chiba bila huruma na Yale majeraha huogooi duh
 
Makalla bwana, ananenepa mashavu na kichwa huku ubongo kiduchu kama kuku
 
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayehusika na Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, amewataka Watanzania kupuuza madai ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwamba uchaguzi hautafanyika bila mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi.

Akizungumza siku ya Jumanne Machi 4, 2025 katika kikao cha viongozi wa CCM wa mashina, kata, matawi na mabalozi wa Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam, Makalla amesema kuwa CHADEMA inakosea kuwaambia wafuasi wao wasijiandikishe kwa madai kuwa hakutakuwa na uchaguzi.

Ameendelea kusisitiza kuwa uchaguzi utafanyika kwa mujibu wa sheria na katiba, na kwamba madai ya CHADEMA kwamba "No Reform, No Election" ni propaganda zisizo na msingi.

Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kauli yake inakuja huku mijadala ikiendelea kuhusu mustakabali wa uchaguzi na msimamo wa vyama vya siasa juu ya mazingira ya kisiasa nchini Tanzania.
View attachment 3258488
Tutauzuia hadi kura za watz zitakapoheshimiwa
 
Teh Teh Teh Mbowe Hana hyo michezo Kama Lissu!! Sagai galgano hnapeleka moto kwa chiba bila huruma na Yale majeraha huogooi duh
Wewe maumivu yako ni kukosa fursa ya kupata ubunge wa viti maalumu kwa mujibu wa makubaliano binafsi ya basha wako Mbowe na mama Abdul. Mtu sampuli yako ni wa kupuuzwa.
 
Nyie kaeni pembeni Vipo vyama vitashiriki Kama vile CUF… ADA TADEA, UDP, ACT, TLP, SAU, DP na vingine vingi!! Hivi hamsikii aibu chama kimoja kujifanya muhimu mbele ya hivi vyama vyote? Kama hamna mikakati ya kushiriki chaguzi kaeni pembeni hizo fujo zitaishia mahambe ikungi…..
Mnategemea wizi na policcm na sio ushindani.
 
Back
Top Bottom