Jamani hali zenu,ndugu zangu mi naomba kujua which is better yani KWENDA KUSOMA MASTERS ALAFU NDO UTAFUTE CPA au UTAFUTE CPA ALAFU NDO UFANYE MASTERS and who are most appreciable huko makazini.....
CPA utazeeka au kufa kabla haujaipata na mwisho utakosa vyote,fanya masters kwanza ndio uje ubahatishe CPA
ok kafanye mzee haina shida,mi nilitoa ushauri tu lakini mwenye maamuzi ni wewe au yeye au yeyote alie kwenye njia panda kama hiyo,all da bestkwanini kubahatisha? Nyie watu mnashangaza sana
ok kafanye mzee haina shida,mi nilitoa ushauri tu lakini mwenye maamuzi ni wewe au yeye au yeyote alie kwenye njia panda kama hiyo,all da best
Kama unataka kuwa muhasibu au kufanya kazi za kihasibu then CPA ndio mpango mzima.Jamani hali zenu,ndugu zangu mi naomba kujua which is better yani KWENDA KUSOMA MASTERS ALAFU NDO UTAFUTE CPA au UTAFUTE CPA ALAFU NDO UFANYE MASTERS and who are most appreciable huko makazini.....
nimerudi kaseme tena kwa modsDogo inategemea na kazi unayofanya...waweza kuwa na cpa mwenzako akawa na masters lakini bado akakuzid mshahara ,mfano..being lecturer at university
Pia kuna baadhi ya kazi mwenye cpa anaweza kulipwa vizur..
Yote angalia malengo yako..CPA au masters si kipimo sahihi cha kuwin maisha.Ni ushauri tu.
Dogo inategemea na kazi unayofanya...waweza kuwa na cpa mwenzako akawa na masters lakini bado akakuzid mshahara ,mfano..being lecturer at university
Pia kuna baadhi ya kazi mwenye cpa anaweza kulipwa vizur..
Yote angalia malengo yako..CPA au masters si kipimo sahihi cha kuwin maisha.Ni ushauri tu.
nimerudi kaseme tena kwa mods
nimerudi kaseme tena kwa mods
UTAFUTE CPA au UTAFUTE CPA ALAFU NDO UFANYE MASTERS and who are most appreciable huko makazini.....
kwa uandikaji huu duhhhhh, , ,una andika sijui unafukuzwaumemaliza chuo kweli wewe? Soma kwanza undergraduate. Ukimaliza ndio ufikirie kusoma cpa, then mba---masters of bad accountants.
anza na mastaz coz ni rahisi kuipata kuliko cpa pia mastaz kimtaa inasifika hata ukifa kaburini wakiwa wanasoma historia fupi ya marehemu utauza mbaya japokuwa utakuwa tayari kuliko CPA ambayo mtaani hata hawaijui wanaweza fikilia ni jina lingine la unesi au mtu wa monchwari.
CPA(T) ni uchafu na ni kwa ajili ya tanzania tu ukienda beyond borders unaicha kwenye exit point sasa kwa nini upoteze muda kusoma huu ujinga kwenye utandawazi, masters nayo ni uchafu mwingine inakuwa na maana kama utaenda chuo kuwa tutor kwani masters kazini hakuna employer anaehitaji labda awe mjinga.