CPA(T) v/s MASTERS

CPA(T) v/s MASTERS

fox

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
313
Reaction score
614
Jamani hali zenu,ndugu zangu mi naomba kujua which is better yani KWENDA KUSOMA MASTERS ALAFU NDO UTAFUTE CPA au UTAFUTE CPA ALAFU NDO UFANYE MASTERS and who are most appreciable huko makazini.....
 
Jamani hali zenu,ndugu zangu mi naomba kujua which is better yani KWENDA KUSOMA MASTERS ALAFU NDO UTAFUTE CPA au UTAFUTE CPA ALAFU NDO UFANYE MASTERS and who are most appreciable huko makazini.....

Ndugu yangu chaguo la elimu ni lazima lifuate malengo yako. What do you want to achieve? ukiishajua hilo tafuta aina ya ujuzi au cheti kitakacho support muelekeo wako. Vinginevyo utafanya masters au CPA na usijue cha kufanya au ukawa mtu wa wastani katika mafanikio. Nimesema haya kutokana na ulichokiandika hapo juu kwenye nyekundu
 
CPA utazeeka au kufa kabla haujaipata na mwisho utakosa vyote,fanya masters kwanza ndio uje ubahatishe CPA
 
ok kafanye mzee haina shida,mi nilitoa ushauri tu lakini mwenye maamuzi ni wewe au yeye au yeyote alie kwenye njia panda kama hiyo,all da best

mkuu mimi hata sipo huko, ila hiyo kauli ya "kubahatisha" wengi wanaitumia. Sitaki kuamini kama hao jamaa wanao mambo yaliyo nje ya sylabus
 
Jamani hali zenu,ndugu zangu mi naomba kujua which is better yani KWENDA KUSOMA MASTERS ALAFU NDO UTAFUTE CPA au UTAFUTE CPA ALAFU NDO UFANYE MASTERS and who are most appreciable huko makazini.....
Kama unataka kuwa muhasibu au kufanya kazi za kihasibu then CPA ndio mpango mzima.
 
CPA kubahatisha. Sylabus wanayo lakini unapimwa kwenye mizania ya kuchomoa chomoa maswali CIMA,ACCA,CA na kwingineko. Kuna jamaa aliajiriwa ninapofanyia kazi akitokea shule na pamoja na kuelekezwa cha kufanya ni nini lakini bado mweupe. Mwaka huo huo CPA anayo. MAmbo yote ACCA bwana!!
 
CPA ni nzuri sana kwa mhasibu, japokuwa siku hizi inakuwa under rated sana watu wanazo na bado maisha ya kuunga unga tu.. Zamani ilikuwa ukiipata umetoboa maisha but siku hizi elimu ni uwezo, network na surname unayotoka sio vyeti...

Nina watu nawajua wana cpa lakini hawaeleweki mwaka wa pili huu..

Ila kwa ushauri anza na CPA kama akili nzuri sababu bei yake ni rahisi kuliko masters.. Maana masters unaweza ingia gharama na bado isikusaidie mtaani kama hauna network ya kutosha...

Na pia siku hizi kazi zinafanywa na management systems tofauto tofauti unaishia kufanya data entry tu.. Ndo maana CPA sijui masters zinachukuliwa poa as hakuna kazi ngumu system inafanya karibu yote..

Finance manager peke yake labda na chief accountant ndo anaumiza kichwa but wengine wote data entry
 
Dogo inategemea na kazi unayofanya...waweza kuwa na cpa mwenzako akawa na masters lakini bado akakuzid mshahara ,mfano..being lecturer at university
Pia kuna baadhi ya kazi mwenye cpa anaweza kulipwa vizur..
Yote angalia malengo yako..CPA au masters si kipimo sahihi cha kuwin maisha.Ni ushauri tu.
 
nimerudi kaseme tena kwa mods
 
Mna ugomvi binafsi nyie watu?? Mbona sielewi comment na counter-comment hizi?
 
UTAFUTE CPA au UTAFUTE CPA ALAFU NDO UFANYE MASTERS and who are most appreciable huko makazini.....

Umemaliza chuo kweli wewe? Soma kwanza undergraduate. Ukimaliza ndio ufikirie kusoma CPA, then MBA---Masters of Bad Accountants.
 
anza na mastaz coz ni rahisi kuipata kuliko cpa pia mastaz kimtaa inasifika hata ukifa kaburini wakiwa wanasoma historia fupi ya marehemu utauza mbaya japokuwa utakuwa tayari kuliko CPA ambayo mtaani hata hawaijui wanaweza fikilia ni jina lingine la unesi au mtu wa monchwari.
 
hahahahaha eke jamani mi acha nicheke tu maana nimeshindwa kujizuia......hahahahaha we Billie ww huu ushauri wako kiboko
 
CPA(T) ni uchafu na ni kwa ajili ya tanzania tu ukienda beyond borders unaicha kwenye exit point sasa kwa nini upoteze muda kusoma huu ujinga kwenye utandawazi, masters nayo ni uchafu mwingine inakuwa na maana kama utaenda chuo kuwa tutor kwani masters kazini hakuna employer anaehitaji labda awe mjinga.
 
Una elimu gani mkuu,maana kila kitu kwako ni uchafu...
 
Back
Top Bottom