CPA utazeeka au kufa kabla haujaipata na mwisho utakosa vyote,fanya masters kwanza ndio uje ubahatishe CPA
CPA ni nzuri sana kwa mhasibu, japokuwa siku hizi inakuwa under rated sana watu wanazo na bado maisha ya kuunga unga tu.. Zamani ilikuwa ukiipata umetoboa maisha but siku hizi elimu ni uwezo, network na surname unayotoka sio vyeti...
Nina watu nawajua wana cpa lakini hawaeleweki mwaka wa pili huu..
Ila kwa ushauri anza na CPA kama akili nzuri sababu bei yake ni rahisi kuliko masters.. Maana masters unaweza ingia gharama na bado isikusaidie mtaani kama hauna network ya kutosha...
Na pia siku hizi kazi zinafanywa na management systems tofauto tofauti unaishia kufanya data entry tu.. Ndo maana CPA sijui masters zinachukuliwa poa as hakuna kazi ngumu system inafanya karibu yote..
Finance manager peke yake labda na chief accountant ndo anaumiza kichwa but wengine wote data entry
CPA(T) ni uchafu na ni kwa ajili ya tanzania tu ukienda beyond borders unaicha kwenye exit point sasa kwa nini upoteze muda kusoma huu ujinga kwenye utandawazi, masters nayo ni uchafu mwingine inakuwa na maana kama utaenda chuo kuwa tutor kwani masters kazini hakuna employer anaehitaji labda awe mjinga.
Wewe ni employer au employee?
im both
mkuu samahani kama ni metumia lugha kali,ila sijatukana mtu!Obama wa bongo or whatever u call ur self,pls watch ur mouth hatupo hapa kwa ajili ya matusi sawa,kwanza wewe mwenyewe ni bonge la mburura kwa kushadadia majina ya watu maarufu,ebu jiite lile jina ulilopewa na wazazi wako tulisikie lilivyo la ajabu,kama uwezi kucomment kaa kimya sio matusi,vijitabia vyenu vya facebook hatuvitaki humu ndani.........!ok,wadau tuendelee na mjadala wetu huyu sijui ndo obama anataka kutuvuruga humu
managerial positions na masters havina uhusiano, masters ina uhusiano na tutors. we need leaders not managers.
acha kukremu ...tena umemeza vibaya ...eti inauhusiano na tutors
Kusoma sana sio kuwa na Pesa chamsingi unataka kuwa nani
anza na mastaz coz ni rahisi kuipata kuliko cpa pia mastaz kimtaa inasifika hata ukifa kaburini wakiwa wanasoma historia fupi ya marehemu utauza mbaya japokuwa utakuwa tayari kuliko CPA ambayo mtaani hata hawaijui wanaweza fikilia ni jina lingine la unesi au mtu wa monchwari.
hi, members Masters za kibongo ni uzushi tu tunawaona makazini weupe kinoma CPA kwa kweli bado wamemaintain stustas yao mtu mwenye CPA tofauti kabisa na mwenye masters