Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Jana usiku, nilikuwa mmoja wa watu niliobahatika kuona mahojiano ya baadhi ya wajumbe wa bodi ya wakurugenzi wa Simba kwenye social media moja, nilisikiliza sana hoja za mjumbe anajiita CPA Issa Masoud Simba.
Ndugu zangu, taaluma ya CPA inayotolewa na NBAAA sio mchezo, hii ni body ya wakaguzi na wahasibu nchini, mnaweza kufanya mitihani watu 100 mkafaulu wawili tu, zamani ukiambiwa jamaa ana CPA ukikuwa unatetemeka, huyo mheshimu sana, na siku hizi hata serikalini ukiwa na degree ya accountancy au masters degree wewe bado kitaaluma, CPA ndio mpango mzima.
Sasa huyu jamaa ambaye kwa kweli nashindwa kuamini kama wanachama walimchagua wakiwa na Akili timamu ama LA.
Kwanza unawezaje kuwa msomi halafu unaita press kuongelea mambo yanayohusu kampung ambayo ni taasisi nyeti kama simba ukiwa baa?
Pili, umeita waandishi wa Habari wasiokuwa na uelewa na masuaka ya kampuni ambapo matokeo yake wengi hawajaelewa kama alikuwa akiongea kitaaluma au mipasho
Tatu, umealika wanachama wasiokuwa na uelewa na masuaka ya kampuni ili umshambulie MO wakuone wewe ni msomi, unajitambua na MO ndio tatizo.
Nne na kubwa zaidi, umeshindwa Kabila kufafanua dhana ya kampuni.CPA mzima umeshindwa kueleza dhana ya kampuni? Hao waandishi na wanachama uliokuwa ukiwavesha jana ulikuwa unawasomea Memorandum of association na articles of association yawn AOA, hayo mambo Hao wanachama na waandishi uliowakusanya jana wanaelewa nini?
Sisi tunaojua MOA na AOA ndio ungetuita ili tukupime hiyo CPA yako, hivi Simba haina company secretary hadi hayo uliyokuwa ukieleza na kupotosha yatokee.
Wewe unayedai una CPA umedhalilisha sana taaluma, mchakato wa transformation is yet to be completed, hizo MOA na AOA Zina Faida gan
Umeshikilia kuwa hamtajiuzulu hamtajiuzulu kwa sababu Mo anataka hela alizokuwa anasaidia ziingizwe kama deni, Simba ina hisa 51 na MO 49, we c una CPA Simba imetoa nn had leo, MO hatoi hela, hujaeleza nani analipa salaries wachezaji and other remunerations.
Hujaeleza majukumu yenu nyie kama board of directors ni yepi, we umeshikilia hela haitolewi.Simba haifanyi vzr nani amesababisha tupigwe mabao 5 ya mchongo kama sio uzembe wenu?
Halafu umewaudhi sana wanasimba ulipopinga usajili unaoendelea kufanywa na kamati ya usajili, we Ina Akili wewe, unaweza kusajili wewe zaidi ya kunuka mdomo tu.
Kuhusu kujiuzulu unajifurahisha tu, watafute akina Ngonya, Juma Salum ahaa wameshatangulia mbele ya haji Hao, hata mzee Dalali mtafte atakwambia simba wakitaka Jambo Lao utaondoka tu.
Nimeona pia Leo shaffih amepost sana video zako Bw.CPA, kumbe siri zote za simba unampaga wewe.Shame on you all.
Nitaandika Barua kesho kuiomba NBAAA kuchunguza uliwezaje kutunukiwa CPA Makati uwezo mdogo.