CPA ya Issa Masoud Simba ichunguzwe kwa kuongea pumba, utumbo, ujinga na kukosa weledi

Aliyoyasema ni kweli ama Lah ?

Hili ndo la msingi
 
Kumbe wana simba wenye akili mpo ila mnapenda sana kukaa nyuma nyuma. Tokeni mbele mtumie akili zenu kusafisha wazembe. Hiki kipindi cha transfer ndo mlipaswa mkae vizuri zaidi na mwekezaji kuliko kipindi kingine chochote.
 
Aliyoyasema ni kweli ama Lah ?

Hili ndo la msingi
Kama umesoma hadi mwisho na hujaelewa basi na wewe ni mbumbumbu.

Hatuwezi kuongelea Memorandum of Association ya mchakato ambao haujakamilika kisheria. Kwa sheria za nchi yetu, simba haina mwekezaji bado. Mo pale ana haki zote za kudai hela zake kama mchakato hautakamilika. Maana ungekamilika Mo licha ya kuweka hizo 20B bado na wanachama wanapaswa kuchangia hizo hisa 51 zinazobaki kwao, kitu ambacho mpaka sasa hamkifanyi
 
ANDIKO HALINA KICHWA WALA MIGUU.

Kamwe sisi viongozi wa Wanachama hatutajiuzuru sababu tunawakilisha 51% ya wanachama, hao wahuni wa upande mwingine wanataka kupora haki ya 51% ya wanachama.
 
Naona haujajenga hoja kulingana na maelezo yake ...Fafanua alichokisema Kwa facts na utolee ufafanuzi WTF
 
Jibuni kwanza hoja zake. Na siyo kukimbilia kwenye CPA yake.
 
ni ulofa wa sifa za kijinga. umeona wapi duniani wana huo utaratibu?
Unaongelea dunia gani au dunia ya huko Sing'isi?Marekani prefix ya CPA wanazitumia mnoooo,India wanatumia Sana CA
 
Pili, umeita waandishi wa Habari wasiokuwa na uelewa na masuaka ya kampuni ambapo matokeo yake wengi hawajaelewa kama alikuwa akiongea kitaaluma au mipasho
Waandishi gani walioitwa mkuu?πŸ˜ƒ

Na masuala gani ya Kampuni wasiyoyaelewa?🀣

Je suala la uwekezaji wa 20B linahitaji uelewa wa masuala ya kampuni?

Maelezo ya CPA yalikuwa mipasho KIVIPI?
 
Nne na kubwa zaidi, umeshindwa Kabila kufafanua dhana ya kampuni.CPA mzima umeshindwa kueleza dhana ya kampuni
Dhana ipi mkuu??

Kampuni gani wakati mchakato unapaswa kurudiwa upya?

Kampuni ipi wakati mwekezaji hajaweka 20B za kununulia Bonds bank kama mtaji?

Hebu tuelezee hiyo dhana ya kampuni mkuu kulio kulalamika tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…