Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 17,306
- 19,885
- Thread starter
- #41
UKIMWI una dawa zake za kurefusha maishaUgonjwa upi? Ukimwi kama malaria tu siku hizi
UKIMWI una dawa zake za kurefusha maishaUgonjwa upi? Ukimwi kama malaria tu siku hizi
Kama kuna dawa ndio watu wacheze peku?UKIMWI una dawa zake za kurefusha maisha
Wewe ulihitimu wapi? Anza kwanza kusema vyakoUlihitimu IAA mwaka gani kaka? Nisaidie kutafuta tempo basi.
![]()
Nilihitimu elimu ya juu katika Chuo cha Uhasibu Arusha (I.A.A) mwaka 2009. Is this purely coincidental?
Habari zenu jamiiforums Nilihitimu elimu ya juu katika Chuo cha Uhasibu Arusha (I.A.A) mwaka 2009. Is this purely coincidental? ========== Soma>>> Kwanini Tanzania inashindwa kuzalisha tena wachezaji ambao ni "University Graduates" kama akina Engineer Leodgar Tenga? Tunakwama wapi kama taifa...www.jamiiforums.com
Kumbe bado dogo sana. Mimi miaka hiyo ninapiga kazi DodomaNilimaliza 2009
Shikamoo dadaKumbe bado dogo sana. Mimi miaka hiyo ninapiga kazi Dodoma
Umbea umbea tu humuWewe ulihitimu wapi? Anza kwanza kusema vyako
Disco limeingia Mmasai vumilia tu wee jamaaUmbea umbea tu humu
Vikongwe wamejaa humu unaweza kukutana mpaka na bibi zakoShikamoo dada
Kama elimu ni aghali basi jaribu ujinga kaka mkubwaWasituwekee maada yao ya ajabu ajabu.
Naanza nayo mwaka huu hiyo.
Mimi ninayo ACCA niliipata kipindi hiko nipo South AfricaWasituwekee maada yao ya ajabu ajabu.
Naanza nayo mwaka huu hiyo.
FaizaFoxy je?Vikongwe wamejaa humu unaweza kukutana mpaka na bibi zako
Huyu bibi sijui yupo wapi siku hiziFaizaFoxy je?
Ulisoma kwa bei gani?Mimi ninayo ACCA niliipata kipindi hiko nipo South Africa
Ndio maana waziri mkuu juzi alisema ifikie mahali watu waajiriwe bila ku base kwenye vyeti bali utendaji! Mpe mtu kazi afanye akiiweza jua atakuwa productive bila hata ya kubebeshana vyeti! Cheti awe nacho ila isiwe ndio kama fimbo ya kudahilia watu kwa marks!Hata mimi ninapingana sana na huu utaratibu wa kufanyishana mitihani miiiiiingi eti ndio kipimo cha uhakiki wa taaluma ya mtu.
Mbona walimu hawana mitihani ya bodi? Soma hapo chini...
![]()
Kwanini mwalimu hafanyiwi "certification" kama mhasibu (Certified Public Accountant) ilhali walimu ni wengi na elimu bora ndio msingi wa taifa imara?
Shikamooni wakubwa zangu wote wa humu jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Kwanini mwalimu hafanyiwi "certification" kama mhasibu (Certified Public Accountant) ilhali walimu ni wengi na elimu bora ndio msingi wa taifa imara...www.jamiiforums.com
Yani wee acha tu kwa ugumu huu natamani nipate hata danga la kunitunza
Hahahaha kwa kuwa ujinga ndio bei rahisi? Au sio?Kama elimu ni aghali basi jaribu ujinga kaka mkubwa
Nilipewa ufadhili wa taasisi ya diniUlisoma kwa bei gani?
Aliamua kutumia ID nyingineHuyu bibi sijui yupo wapi siku hizi
Ndio hivyo tena. Hakuna kitu cha bure duniani mkuu. Hata mavi ya ng'ombe yanauzwa kama mbolea.Hahahaha kwa kuwa ujinga ndio bei rahisi? Au sio?