Rose Gabriella
JF-Expert Member
- Oct 17, 2020
- 603
- 584
Faiza bila shaka yupo busy anacheza na wajukuu zake sasa. Ameona JF ni uwanja wa watoto yeye amekuwa bibi bora akae pembeni.FaizaFoxy je?
Faiza bila shaka yupo busy anacheza na wajukuu zake sasa. Ameona JF ni uwanja wa watoto yeye amekuwa bibi bora akae pembeni.FaizaFoxy je?
Humu wapo mpaka vibaka wa kariakoo sembuse bibi na babuVikongwe wamejaa humu unaweza kukutana mpaka na bibi zako
Disco lenyewe ndio JF na wamasai ndio vilaza wa UfipaDisco limeingia Mmasai vumilia tu wee jamaa
Tumia mkongo a.k.a kasongoNipo tayari kuwa danga lako
Ila nina upungufu wa nguvu😃😃
Nilihitimu UDOMWewe ulihitimu wapi? Anza kwanza kusema vyako
Ndio zinaitwa ARVsUKIMWI una dawa zake za kurefusha maisha
Ngoma gani? Sindimba au mdundiko?Ngoma inatisha wee dada
Shikamoo kaka. Wewe ni mkongweNilimaliza 2009
Ngoja upate UKIMWI ndio utajua kama ni sindimba au mdundiko.Ngoma gani? Sindimba au mdundiko?
Daaah pole sana mkuuMwaka 2008 nilizika ndugu wawili mtu na binamu yake kwa sababu ya ngoma.
Tena ni weeeengi kama siafuHakika mkuu. Kuna watoto wameivamia JF kwa pupa
Hongera sana mkuu. Vipi inasaidia lakini ama ndo kuwa na cheti tu.Mimi ninayo ACCA niliipata kipindi hiko nipo South Africa
Umeambiwa wapi ???Kama elimu ni aghali basi jaribu ujinga kaka mkubwa
Labda wanalipwa na MboweTena ni weeeengi kama siafu
Wewe ni CCM?Labda wanalipwa na Mbowe
Mimi pia nimezika babu yangu wa miaka 73 juzi tu hapaDaaah pole sana mkuu
Mbona huyo jamaa ana jina baya hivyo? Ndugu yako nini?
Kwanini majina ya asili unayaita mabaya? Wewe kwani sio muafrika?Mbona huyo jamaa ana jina baya hivyo? Ndugu yako nini?
Pole sana best. Mwaka jana watu walikufa sana aisee sijui kwaniniMimi pia nimezika babu yangu wa miaka 73 juzi tu hapa