CPA ya viwango vya kimataifa (ACCA) kuanza kufundishwa katika Chuo cha Uhasibu Arusha (I.A.A)

Wewe ulihitimu wapi? Anza kwanza kusema vyako
 
Ndio maana waziri mkuu juzi alisema ifikie mahali watu waajiriwe bila ku base kwenye vyeti bali utendaji! Mpe mtu kazi afanye akiiweza jua atakuwa productive bila hata ya kubebeshana vyeti! Cheti awe nacho ila isiwe ndio kama fimbo ya kudahilia watu kwa marks!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…