RIZIKI ALLYS MUHUNZI
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 637
- 778
Ronaldo ametoka kwenye majeruhi ndugu usitegemee kumuona akiludi kwa haraka zaidi ucjal vuta subiraHatujasema Real hawatabeba ndoo mkuu, tunasema cr7 anaisha! Hata ureno walichukua EURO lakini perfomance ya cr7 ilikuwa ya kawaida sana. Tukubaliane graph yake inashuka
wewe ni KE au ME ndio uandishi gani huo wa XAXAXx si utaona mwisho wa siku ronaldo anabeba ndo ilo mess lenu sijui jumba la maonyesho anabaki kuduwa#utani usipanik bro
kajifunze kuandika mkuu hapa sio FACEBOOKNdoo aka makumbe makubwa ya kibabe
Hivi majeruhi gan hayo yasio insha? Mechi ya Tisa bado unasema majeruhiRonaldo ametoka kwenye majeruhi ndugu usitegemee kumuona akiludi kwa haraka zaidi ucjal vuta subira
Xx ndo nini mkuu?Xx si utaona mwisho wa siku ronaldo anabeba ndo ilo mess lenu sijui jumba la maonyesho anabaki kuduwa#utani usipanik bro
Acha ushamba nakujisikia toa hoja mambo ya fb yanahusiana nn na hapaXx ndo nini mkuu?
Hapa siyo fb asee
Unaelewa maana ya hoja?Acha ushamba nakujisikia toa hoja mambo ya fb yanahusiana nn na hapa
Ronaldo na Messi nani katoka kwenye majeruhi??? Subira navuta sawa mkuu lakini tusitafute visingizio. Sema tumpe muda tu huenda akarudi kwenye formRonaldo ametoka kwenye majeruhi ndugu usitegemee kumuona akiludi kwa haraka zaidi ucjal vuta subira
Ata ronaldo ametoka kwenye majeruhi ya goti mkuu unakumbukaRonaldo na Messi nani katoka kwenye majeruhi??? Subira navuta sawa mkuu lakini tusitafute visingizio. Sema tumpe muda tu huenda akarudi kwenye form
Kama ni hivyo basi wachezaji wote wametoka majeruhi maana wote walishawahi kuumia. Hapa tunaconsider ni lini mtu ametoka majeruhi. Messi ni juzi tu ila hii haiwez kuwa excuse kwa perfomance yake. Mi naamini katika uvumilivu. I hope cr7 is gonna be on fire again. Kizuri chake akiibahatisha game moja anaweza piga hata goli 5 peke yakeAta ronaldo ametoka kwenye majeruhi ya goti mkuu unakumbuka
Yes bro tuwe na subira kuliko kumshambuliaKama ni hivyo basi wachezaji wote wametoka majeruhi maana wote walishawahi kuumia. Hapa tunaconsider ni lini mtu ametoka majeruhi. Messi ni juzi tu ila hii haiwez kuwa excuse kwa perfomance yake. Mi naamini katika uvumilivu. I hope cr7 is gonna be on fire again. Kizuri chake akiibahatisha game moja anaweza piga hata goli 5 peke yake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi umemuelewa mkuu alichokwambiaYes bro tuwe na subira kuliko kumshambulia
Sawa huo si mtazamo wake xx mimi nikatae ili iweje na yeye anaona ana bahatisha,[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi umemuelewa mkuu alichokwambia
YANI MUWE NA SUBIRA HADI PALE ATAKAPOBAHATISHA TIMU YA KUIFUNGA TANO
watu wakikushauri usijitie kiburi na ujivuni. hizo xx waachie mabinti wa sekondari. ukiandika hivyo hata ukiwa na hoja nzuri itadharauliwa.Sawa huo si mtazamo wake xx mimi nikatae ili iweje na yeye anaona ana bahatisha,
ila kusema Cr7 ni mpinzani wa Messi ni kumuonea Messi.Cha kushangaza Mpinzani (Lionel Messi) wake ana magoli 14 ktk mechi 11 ilihali alikuwa majeruhi na kuwa nje ya uwanja kwa wiki 3 huku Cr7 akiendelea kucheza.