RIZIKI ALLYS MUHUNZI
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 637
- 778
Ronaldo ametoka kwenye majeruhi ndugu usitegemee kumuona akiludi kwa haraka zaidi ucjal vuta subiraHatujasema Real hawatabeba ndoo mkuu, tunasema cr7 anaisha! Hata ureno walichukua EURO lakini perfomance ya cr7 ilikuwa ya kawaida sana. Tukubaliane graph yake inashuka