Cr7 Safari ndio imeishia hapo?

Cr7 Safari ndio imeishia hapo?

Hatujasema Real hawatabeba ndoo mkuu, tunasema cr7 anaisha! Hata ureno walichukua EURO lakini perfomance ya cr7 ilikuwa ya kawaida sana. Tukubaliane graph yake inashuka
Ronaldo ametoka kwenye majeruhi ndugu usitegemee kumuona akiludi kwa haraka zaidi ucjal vuta subira
 
Ata ronaldo ametoka kwenye majeruhi ya goti mkuu unakumbuka
Kama ni hivyo basi wachezaji wote wametoka majeruhi maana wote walishawahi kuumia. Hapa tunaconsider ni lini mtu ametoka majeruhi. Messi ni juzi tu ila hii haiwez kuwa excuse kwa perfomance yake. Mi naamini katika uvumilivu. I hope cr7 is gonna be on fire again. Kizuri chake akiibahatisha game moja anaweza piga hata goli 5 peke yake
 
Yes bro tuwe na subira kuliko kumshambulia
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi umemuelewa mkuu alichokwambia

YANI MUWE NA SUBIRA HADI PALE ATAKAPOBAHATISHA TIMU YA KUIFUNGA TANO
Sawa huo si mtazamo wake xx mimi nikatae ili iweje na yeye anaona ana bahatisha,
 
Cha kushangaza Mpinzani (Lionel Messi) wake ana magoli 14 ktk mechi 11 ilihali alikuwa majeruhi na kuwa nje ya uwanja kwa wiki 3 huku Cr7 akiendelea kucheza.
ila kusema Cr7 ni mpinzani wa Messi ni kumuonea Messi.
 
Back
Top Bottom