Mimi huwa sifuatilii tuzo ila kwa sababu yenu Ninyi manaojiita #team ....sijui team ya Nani...
Nishampigia Diamond kura 60, yaani 20 × 3 categories...
Anakura zangu 60 sasa....
Sijui mmekula maharage ya abuja...pumbavvv
Cjui nani katuloga jamani.. Khaaa! Watz ni species moja very unique
Yani hivi vidada ata havijichi kuwa ni muonekano mbovu alafu maisha magumu ndio maana wanashindwa ata kuwa na watu wa kuwa keep busy, ndio maana wana hasira hao Diamond ndio sehemu ya kumalizia machungu yao.
Amna kitu cha kulinda kama utaifa. To sapport ur own tuige nchi za wenzetu ambazo wanaweka utaifa mbele. Chuki baina yetu haijengi Diamond katutangaza sana Tz tusichoke kumpa sapport" we mpe sapport thn maisha yake kala nn anatoka na nani mwachie mwenyewe
Hahhahahha nimecheka kweli wanaume wa hivyo lazima watakuwa wanaelekea kwenye u-caitilyn Jenner hahahaha
Hata mimi ntampigia hizo tuzo moja lazima ije bongo kuileta sifa nchi hiyo hii.
Tanzania nitakuita mpaka kufa hahabahah (chenja ya jkt hiyo)
mkuu umemaliza kila kitu mtu mwenye mafanikio ya hawezi kuwa mtazamo wa kijinga vile, wengi wao wakiume ni stress za maisha hasa wakiona dogo kawapiga gap na wengine ni wale nyapu ndo rasilimali hapa mjini huwezi kuta mtu kama madam rita anafanya hivo
Hatari. Kweli nabii hakubaliki kwao
Nabii wa papuchi!!
Ndio hvo mwisho wa siku wanapakuliwa tu. Ooh m nilkia najihisi mwanamke tangia zaman kumbe mambo yakike kuendekeza haya. Dume zima linamchukua mwanamme mwenzake mtafutaji..
Amna kitu cha kulinda kama utaifa. To sapport ur own tuige nchi za wenzetu ambazo wanaweka utaifa mbele. Chuki baina yetu haijengi Diamond katutangaza sana Tz tusichoke kumpa sapport" we mpe sapport thn maisha yake kala nn anatoka na nani mwachie mwenyewe
Yaani ndomo ndio katangaza taifa na XPLASTAZ utasemaje? Kajipange
Alikugonga nini na ww.
Yaani ndomo ndio katangaza taifa na XPLASTAZ utasemaje? Kajipange
Ndo umeandika hapa we ndo walewale sijui kama unajielewa .Si ajabu hapa ulipo unakula ugali wa shikamoo .
Hahahaaaaaa..
Mmenipa wazo Ninyi watu mnaojiita team, team.
Nina watoto 3 , nawafungulia emails wooote ili wampigie kura Diamond ,
Nafanya hivi kwa kuwa mmenitia hasira kwa kukosa utanzania..
Kura za watoto wangu 3 kwa Diamond na Vanessa.
Diamond kura ( watoto 3× category 3× kura 20= kura 180 jumla.
Afu Nina group la whatsapp la wazalendo km Mimi....hawafuatilii music ila watafanya km Mimi kwa Heshima ya Tanzania na nasanaa yake.
Umepigilia palepale mkuu wanaume wa kweli hatuna tabia za bifu za kikekike kama kuna ishu ambayo iko kwenye uwezo wako wako unamsapoti mwezio then unakula kona .
Mambo ya kufatiliana tupa kule .