Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Mimi huwa sifuatilii tuzo ila kwa sababu yenu Ninyi manaojiita #team ....sijui team ya Nani...

Nishampigia Diamond kura 60, yaani 20 × 3 categories...

Anakura zangu 60 sasa....

Sijui mmekula maharage ya abuja...pumbavvv

Hata mimi ntampigia hizo tuzo moja lazima ije bongo kuileta sifa nchi hiyo hii.

Tanzania nitakuita mpaka kufa hahabahah (chenja ya jkt hiyo)
 
Yani hivi vidada ata havijichi kuwa ni muonekano mbovu alafu maisha magumu ndio maana wanashindwa ata kuwa na watu wa kuwa keep busy, ndio maana wana hasira hao Diamond ndio sehemu ya kumalizia machungu yao.

Gentleman habishani na mwanamke "OVER "
 
kura zangu 60 diamond tayari nishampigia.

watu man wivu kama kutu.

watu mna wivu kama udongo wa kaburini.
 
Amna kitu cha kulinda kama utaifa. To sapport ur own tuige nchi za wenzetu ambazo wanaweka utaifa mbele. Chuki baina yetu haijengi Diamond katutangaza sana Tz tusichoke kumpa sapport" we mpe sapport thn maisha yake kala nn anatoka na nani mwachie mwenyewe

Sijui kama watakuelewa maana tulishaambiwa sisi ni vichwa nya wendawazimu na tumekubali kuwa hivyo kwa mawazo,kwa matendo na kwa kutotimiza wajibu.
 
Hahhahahha nimecheka kweli wanaume wa hivyo lazima watakuwa wanaelekea kwenye u-caitilyn Jenner hahahaha

Ndio hvo mwisho wa siku wanapakuliwa tu. Ooh m nilkia najihisi mwanamke tangia zaman kumbe mambo yakike kuendekeza haya. Dume zima linamchukua mwanamme mwenzake mtafutaji..
 
Hata mimi ntampigia hizo tuzo moja lazima ije bongo kuileta sifa nchi hiyo hii.

Tanzania nitakuita mpaka kufa hahabahah (chenja ya jkt hiyo)

Piga kura Mkuu,

Tena its 20 times , hadi wakuambie basi imetosha....

Piga kura, ...

Tanzania mbele...
 
mkuu umemaliza kila kitu mtu mwenye mafanikio ya hawezi kuwa mtazamo wa kijinga vile, wengi wao wakiume ni stress za maisha hasa wakiona dogo kawapiga gap na wengine ni wale nyapu ndo rasilimali hapa mjini huwezi kuta mtu kama madam rita anafanya hivo

Chuki ndio kitu pekee kinachotumaliza Watanzania wengi.. Hata kama una degree kumi na bado hujafika unakotaka kufika Diamond ni Inspiration kwako. Watanzania tukiambiwa akina 50 Cent walianza kuuza dope ghetto mpaka sasa wako hapo walipo tunachekelea. Ila tukiambiwa Diamond miaka kama saba tu iliyopita aliuza cheni ya mama yake ili apate pesa ya kuingia studio na sasa anatembelea BMW na trips nyingi tu outside the country watu wananuna.. Unamchukiaje Mtanzania mwenzako aliyefanya party iliyoingiza 400+ Millions just overnight?? EGO iight??

"Be the best version of yourself in anything u are doing" lazima tulikubali hili dogo kaliweza kwenye sector yake na sie wengine tukomae huku tuliko sio kukaa kilelemama ukitegemea utayapata maisha. Kumchukia mtu asiyekujua hakutaweza kukupa faida yeyote ile zaidi ya hasara tu..
 
Ndio hvo mwisho wa siku wanapakuliwa tu. Ooh m nilkia najihisi mwanamke tangia zaman kumbe mambo yakike kuendekeza haya. Dume zima linamchukua mwanamme mwenzake mtafutaji..

Umepigilia palepale mkuu wanaume wa kweli hatuna tabia za bifu za kikekike kama kuna ishu ambayo iko kwenye uwezo wako wako unamsapoti mwezio then unakula kona .

Mambo ya kufatiliana tupa kule .
 
Amna kitu cha kulinda kama utaifa. To sapport ur own tuige nchi za wenzetu ambazo wanaweka utaifa mbele. Chuki baina yetu haijengi Diamond katutangaza sana Tz tusichoke kumpa sapport" we mpe sapport thn maisha yake kala nn anatoka na nani mwachie mwenyewe

Yaani ndomo ndio katangaza taifa na XPLASTAZ utasemaje? Kajipange
 
Hahahaaaaaa..

Mmenipa wazo Ninyi watu mnaojiita team, team.

Nina watoto 3 , nawafungulia emails wooote ili wampigie kura Diamond ,

Nafanya hivi kwa kuwa mmenitia hasira kwa kukosa utanzania..

Kura za watoto wangu 3 kwa Diamond na Vanessa.
Diamond kura ( watoto 3× category 3× kura 20= kura 180 jumla.

Afu Nina group la whatsapp la wazalendo km Mimi....hawafuatilii music ila watafanya km Mimi kwa Heshima ya Tanzania na nasanaa yake.
 
Yaani ndomo ndio katangaza taifa na XPLASTAZ utasemaje? Kajipange

Hahaha mkuu we wa chuga nn. Mana ndo mmekalia na XPlastaz yenu. Cwez kusema XPlastaz wametangaza Tz sana "RIP father Nelly Ila kitu cha kukimbilia ughaibuni na kuiacha Tz pia niwasifia?? Hapana hapo waliniboa
 
Hahahaaaaaa..

Mmenipa wazo Ninyi watu mnaojiita team, team.

Nina watoto 3 , nawafungulia emails wooote ili wampigie kura Diamond ,

Nafanya hivi kwa kuwa mmenitia hasira kwa kukosa utanzania..

Kura za watoto wangu 3 kwa Diamond na Vanessa.
Diamond kura ( watoto 3× category 3× kura 20= kura 180 jumla.

Afu Nina group la whatsapp la wazalendo km Mimi....hawafuatilii music ila watafanya km Mimi kwa Heshima ya Tanzania na nasanaa yake.

Na mbarikiwe nanyi nyote ....hahahhahh....Fanya hivohovo.
 
Umepigilia palepale mkuu wanaume wa kweli hatuna tabia za bifu za kikekike kama kuna ishu ambayo iko kwenye uwezo wako wako unamsapoti mwezio then unakula kona .

Mambo ya kufatiliana tupa kule .

Ndio manake mkuu. Mambo hayo tuwaachie watt wakike. Kiba simkubali sana lkn hainizuii kumsapoti nikiona yupo kwenye Tuzo nje uko badae then ninauwezo wakuvote Navote cz akichukua ni kama Tz"
 
Back
Top Bottom