Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Sikuwahi hata siku moja kutegemea kuona chuki kiasi hiki ukizingatia huyo Diamond hata hajuani na wengi wa wanaomchukia humu na kwingineko.

Inatia aibu kwa kweli.

may be kwa kuwa hukai kitaa chetu ila huku yaan hata ring tone ya MOND itakufanya wakusonye
MOND anajiloga mwenyewe kwa kuwa msanii kila uchao anatafuta kiki au kimsemo cha kuwakera mashabiki wa mziki

Alishinda tuzo saba ikawa poa, leo mwenzie kashinda tano tu imekuwa nongwa???
Nlimpigia kura ktma ila mpaka sasa hajapost shukrani (just fb post ingetosha) kisa kashinda tuzo mbili anaona ndogo wakati wenzie wametoka mikono mitupu.HII NI DHARAU

kwani MARLOW aliishaje???MZEE WA PIPI.....naye MOND kaimba kibwagizo cha kuisifia katiba mpya inayopingwa sasa hapo kuna uzalendo kweli????

BORA NIMPIGIE DAVIDO, bora ndharauliwe na davido ila sio mtanzania mwenzangu
 

Afadhali sikai kitaa chenu maana mimi na watu wenye vijiba vya roho hatuendani kabisa.
 
Hahahahaaa uwiiii! Nimecheka hapo kwa kupofushwa macho balaa.
inaeleza kiwango cha juu kabisa cha chuki yaan badala ya kuomba utajiri kama wa lowassa ntaomba niwe kipofu jicho mmoja nkijua kabisa MOND atakuwa kipofu macho mawili hivyo mwisho wake maana atadondoka jukwaan

uzalendo gani kwenye mziki tu???kwenye katiba jee???
 
Unapoowaambia ipo siku nao watakua katika hizo tuzo ni ndoto za mchana wana safari ndefu sana sana. Mtu hana tuzo kenya wala uganda then aende South africa kwa mtonyo gani hahahahahha. Bt tupeane sapport tu ili mziki wa Tz ukue ndo cha muhmu. TeamMzikiMzuri vote for Diamond&Vanessa
 
Vote kwa Naseeb Abdul na V money ivo tu yani,, Kelele na majungu tuwaachie wanao komaa nazo,

go go Diamond..
 
najua kimoyomoyo umeshaamua nani wa kumpigia kura....hah hah hah

Mimi wala simpigii kura yeyote yule.

Napenda kuona vijana wengi wa Kitanzania wakifanikiwa kwani mafanikio yao ni upungufu wa umaskini nchini.

Sifurahii kuona watu wakichekelea na kumwombea mtu anguko ili asiendelee kufanikiwa.
 
mfyuuuu!!!!!!!5%&%#4%#$5*%#%%#$#@#$$%##
 
Last edited by a moderator:
Ayo maneno yote bhado 2navote kwa mnyaaaama we2 chibu aka bilionea wa tanzania aka bin laden aka mr nana...na kesho kuna iyo ngoma mpya inkuja xo kaen makn aisehhh
 
Dinazarde hawa jamaa kama wasipo nifungia kupiga kura basi habar wataipa tu,



Account tatu na ninajitahidi kupiga kura 80 kwa kila moja,20 kwa V money na 60 kwa mtoto wa tandale ivo tu


safi Sanaa sie tupige kura Tu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…