Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
Hahahaha shosti tuvote mwaya. Hawa moto wao ni wiki hii tu baada ya hapo kushney... Dharau zikizidi kinachofwata ni jeuri. Ngoja tulete jeuri.
Hahahaha shosti tuvote mwaya. Hawa moto wao ni wiki hii tu baada ya hapo kushney... Dharau zikizidi kinachofwata ni jeuri. Ngoja tulete jeuri.
Sawa mamy alafu mbona mimi navote no limit nimevot kama mara mia kwa kila category na nime deal na zile category ambazo domo yupo.
Alafu si walisema stoo ya kuhifadh tuzo yamejaa hamna pa kuweka nyingine sasa hiyo wanaitaka ya nini?
Mtashindana lakini hamtashinda
"Watashindana lakini hawatashinda"-mzee wa upako
Oya ....sankoro
Kama ronaldo
Heheheheheee kumekucha! Ngoja nije na screen shots za kutosha, anayeumia anipige ban kama anaweza...lol
Nampigia kura ninayemtaka, uzalendo mwisho kwenu huku kila mtu na yake.
Unatumia email?? Kama yes basi ndio sababu. Vote vote vote vote mtu hakatazwi kupenda akipendacho
Leo ndio mnamjua Mungu??? Si ni nyie bingwa Wa matusi??? We subiri kwanza nikavote kwa email baada ya kumaliza za facebook
Sasa unadhani wewe ukivote sisi tumelala Hahahahaha
Unajiona mshindi kwa kudhani kuwa hizo kura unapiga peke yako
Kwa taarira yako nipo likizo ya kazi.Ninapiga kura kwa dai na vannesa kama chizi bila kuchoka.
Kama Ronaldoooooooooooo pool!!!!
Ndio email mamy... acha ni vote kwa kwenda mbele
Vote vote. Naona idris amepaniki hadi anaanza fitina dhidi ya davido
Vote vote. Naona idris amepaniki hadi anaanza fitina dhidi ya davido
Nikupangie cha kupost mie nimekuwa nani?
Kama ambavyo huwezi kunipangia cha kukwambia ndivyo ambavyo na mi siwezi kukupangia cha kupost au we ulitaka nisemeje ?
Najua umenielewa ila basi vile makusudi na jeuri binadamu tumeumbwa navyo tutafanyaje sasa! Kazana maana ni sifa, mie kikaragosi nisijekupunguzia bichwa buree!