Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,157
Hey niggas don't take it as if it's a matter of life and death. Hii ni normal kabisa hasa zinapohusika renown figures. Hata mwaka juzi Barcelona ilikuja Norway kucheza na velerenga (footbal club ya norway) ila huwezi kuamini wananchi Wa norway walitokelezea uwanjani na jezi za Barcelona. Hata kushangilia walishangilia sana team ya Barcelona kuliko yao ya nyumbani. Imagine tena barc walichezea Norway!! Na ukiongea uzalendo nchi hizi zinajulikana kwa kupenda vyao ila ndo yakatokea haya. So huwezi kuzuia watu kushabikia kile wakipendacho kwa kivuli cha uzalendo.