Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

Hii mitandao ya kijamii kama instagram ilitengenezwa kwa ajili ya maendeleo lakini huku bongo imekuwa ikiwa ikileta hasara badala ya faida katika jamii, Tunajua wote kabisa na ni wazi kuna kampeni za kitoto za kumshusha msanii wa nchi hii diamond platnumz, hii hali imefikia stage ya kuvuka mipaka ya tz jambo ambalo linaaibisha hadi nchi yetu, Kiufupi tunaonekana ni washamba, malimbukeni na watu wapya katikaa hii mitandao kwasababu ya wabongo flan wanaopost ujinga huko insta.

Kuna kampeni za kijinga sana zinaendelea huko insta yaani ni ngumu kumeza, hivi watanzania tunapewa picha gani mwenzetu diamond platnumz kachaguliwa kushindania tuzo then out of no where mbongo mwenzetu anaenda kupost kwenye page za wasanii wa nigeria "msimpigie kura diamond mpigieni davido na wizkid", tena kwa kiswahili hii ni sababu tosha kabisa tunaonekana hatujithamini.

Kuna msemo unasema "to call off the dogs you need to call off the master" ni wazi kabisa hawa wanaopost hivi vitu ni dogs wapo kwenye kundi linaloongozwa na master wao, tena haijatosha nae master bado ni limbukeni, hawa viongozi wa hizi team za wanaopost ujinga kwenye page za kina davido tunawajua, Kiukweli hili jambo itabidi lichukuliwe hatua, kuna ndugu zetu wapo majuu huko na wanadhaniwa malimbukeni kwa ajili tu ya wabongo flani wanaopost ulimbukeni ambao wamo kwenye team zina zoongozwa na celebrities malimbukeni.

Mwisho kabisa jijue wewe ni mtanzania kuwa mzalendo wa nchi yako na upende watanzania wako, kumpigia kura mtanzania mwenzetu ingia hii link MAMA 2015.
 
Davido mwenyewe amewakataa amesema hahitaji kura zenu, lakini bado mnajipendekeza! Team kibakuli poleni, chuki zitawaua. Africa mashariki yote wanampigia diamond na Vanessa
 
Ivi ni kweli Wema ana nguvu hizi za kuwaambia wa-Tz wasimpigie kura Diamond na kweli ikamfanya Diamond ashindwe nitakua mtu wa mwisho kuamini.

utakua wa mwisho kweli maana wengi tu tushapiga kura na hatujampigia....... subir matokeo alafu utajiuliza tena
 
Vote vote votee.
Sambaza upendo.
Mtafurahi na shoo mwaka huu habari ya mujini ni kuvote for davido hutaki pasuka.
Best male.... davido.
Best collab.....david and uhur.
Best live....mr flavour
Sisi tuna deal na category tatu tuu.
Chezeiyaaaa

Nakuekelewa sanaa.
 
Dangote wa Nigeria? Alizoeana na team makombo wapi?

Yani watanzania wanafiki sanaaa!
Nassib Abdul katika a.k.a zotee kaona Dangote!
Tajiri wa kinaija! Hakuna matajiri Tanzania,? Simply kwa kuwa amekosa uzalendo, anaonyesha kiasi gani anaikubali Nigeria na watu wake, wacha nimwunge mkono.Voteee for Davido!
 
BEST MALE

- Diamond Platnumz (Tanzania),
- Wizkid (Nigeria), Davido (Nigeria),
- AKA (South Africa) na Sarkodie (Ghana):

Sina kabisa sababu ya kumpigia kura huyo kijana.Kila nikivungua redio nawasikia yeye pamoja na wenzie wakiimba kama kina Davido na West African, wamekosa ubunifu. Sasa kwa nini nimpigie kura mwigiliziaji badala ya anayeigiliziwa.

Kingine nyie vijana mliokosa ubunifu mtuambie mkimaliza kuwaiga kina Davido mtaiga wapi? Ili tujiandae na kujua kama mnaiga vizuri..

Ogopa sana, mtu anaiga melody, tune, chereography hadi kuramba midomo...na jina pia kaaah!
What is the meaning of the name Dangote!
#Copycats
 
+Hivi si nasikia hii kampeni ya "vote for Davido, Diamond akose" inaendeshwa na maex wa Dai na madem wote wanaomuonea wivu Zari, et wanadai Dai kaacha nyapu zote za bongo kafuata ya Uganda?

+sasa na nyiyi midume mnaoshiriki hii kampeni nini kimewasibu? Au na nyinyi mmetoswa? Au mmepandisha shetani la kike? Au wivu? Siwaelewi mjue.
 
Yani watanzania wanafiki sanaaa!
Nassib Abdul katika a.k.a zotee kaona Dangote!
Tajiri wa kinaija! Hakuna matajiri Tanzania,? Simply kwa kuwa amekosa uzalendo, anaonyesha kiasi gani anaikubali Nigeria na watu wake, wacha nimwunge mkono.Voteee for Davido!

Hahahaaahaaaa ni kweli.
Kwa nini asijiite bacresa au mengi?
Anatudanganya sisi tusiwakubali wa naija ili afaidi mwenyewe
 
+Hivi si nasikia hii kampeni ya "vote for Davido, Diamond akose" inaendeshwa na maex wa Dai na madem wote wanaomuonea wivu Zari, et wanadai Dai kaacha nyapu zote za bongo kafuata ya Uganda?

+sasa na nyiyi midume mnaoshiriki hii kampeni nini kimewasibu? Au na nyinyi mmetoswa? Au mmepandisha shetani la kike? Au wivu? Siwaelewi mjue.

wanataka kupigwa pipe
 
Tatizo dai anajisahau, kwa mfano angepromote tuzo za ktma angepata alafu ndo apromote hizi za mtv angeeleweka sana
,fanpage yake insta wanadai hawana pa kuweka hizo tuzo mbili je hizo za mtv wataweka wapi?
 
Please naomba screenshot
 
Attachments

  • 1434648204302.jpg
    1434648204302.jpg
    45.3 KB · Views: 182
Ccm hoyeeeeeeeeeeeeee
 
Attachments

  • IMG-20150618-WA0009.jpg
    IMG-20150618-WA0009.jpg
    45 KB · Views: 190
Back
Top Bottom