Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Hii mitandao ya kijamii kama instagram ilitengenezwa kwa ajili ya maendeleo lakini huku bongo imekuwa ikiwa ikileta hasara badala ya faida katika jamii, Tunajua wote kabisa na ni wazi kuna kampeni za kitoto za kumshusha msanii wa nchi hii diamond platnumz, hii hali imefikia stage ya kuvuka mipaka ya tz jambo ambalo linaaibisha hadi nchi yetu, Kiufupi tunaonekana ni washamba, malimbukeni na watu wapya katikaa hii mitandao kwasababu ya wabongo flan wanaopost ujinga huko insta.
Kuna kampeni za kijinga sana zinaendelea huko insta yaani ni ngumu kumeza, hivi watanzania tunapewa picha gani mwenzetu diamond platnumz kachaguliwa kushindania tuzo then out of no where mbongo mwenzetu anaenda kupost kwenye page za wasanii wa nigeria "msimpigie kura diamond mpigieni davido na wizkid", tena kwa kiswahili hii ni sababu tosha kabisa tunaonekana hatujithamini.
Kuna msemo unasema "to call off the dogs you need to call off the master" ni wazi kabisa hawa wanaopost hivi vitu ni dogs wapo kwenye kundi linaloongozwa na master wao, tena haijatosha nae master bado ni limbukeni, hawa viongozi wa hizi team za wanaopost ujinga kwenye page za kina davido tunawajua, Kiukweli hili jambo itabidi lichukuliwe hatua, kuna ndugu zetu wapo majuu huko na wanadhaniwa malimbukeni kwa ajili tu ya wabongo flani wanaopost ulimbukeni ambao wamo kwenye team zina zoongozwa na celebrities malimbukeni.
Mwisho kabisa jijue wewe ni mtanzania kuwa mzalendo wa nchi yako na upende watanzania wako, kumpigia kura mtanzania mwenzetu ingia hii link MAMA 2015.