Crazy things you did in secondary school

Kumbe tuliosoma zamani humu tuko wengi aisee


Sent from my iPhone using JamiiForums app

Suala la disco kwenye shule za enzi zile lilikuwa linapagawisha hadi wakuu wa shule....

Nakumbuka hata walimu especially wa shule ambazo hazikuwa mchanganyiko walikuwa wanajiandaa kupokea walimu wa jinsia tofauti watakaosindikiza wanafunzi kwenye disco....euphoria iliyokuwa inazunguka disco ilikuwa ya hatari sana... Sijui siku hizi hali ikoje!

Mimi nilitumbukia kwenye shimo wakati natoka kuchota maji ya kuoga nikaumia vibaya kiasi cha kushindwa kuvaa viatu...yet niliazima open shoes chap chap na kuzama ndani ya disco.... kwani ukilikosa lazima usubiri miezi kama 6 hivi!
 

Ni kweli.......siku hizi bana imekuwa tofauti.......wengine tumebaki kuwa wasomaji tu........thread nyingi zimekuwa za namna namna.......ila tupo pamoja mkuu......
 

Nyinyi ndo mlikuwa watoto wa mama shuleni hamli dona maharage, umenikumbusha siku moja ugali ulipikwa ukiwa na panya sasa jamaa aliyepakuliwa huyopanya liliibuka tifu hadi headmaster akaja kutusihi tusigome badala yake akaamuru wali nyama upikwe jioni yake.
 
Ni kweli.......siku hizi bana imekuwa tofauti.......wengine tumebaki kuwa wasomaji tu........thread nyingi zimekuwa za namna namna.......ila tupo pamoja mkuu......


Ni upepo tu mdogo wangu Preta,

Mzima lakini? Vipi hapo chuga?

Nitakuja tu muda si mrefu, ngoja nikaombe nauli kwa bibi!

Mstue marejesho awahi kumwona babu kabla mambo hayajawa mabaya!!
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha

hivi mkuu marejesho na Philipo wameshapeana talaka?


Talaka ya nini tena mkuu?

Hawa watu bado ni wanandoa watiifu na kila mwanaJF analijua hilo, babu ni shuhuda nambari moja.....

Kwa hiyo hata Filipo anajua kuwa babu ana kesi na marejesho. Na ndiyo maana nikaweka hapa badala ya kukimbilia kule mafichoni....

Babu hawezi kufanya miscalculations za kipuuzi kama za mzee Werema!
 
Last edited by a moderator:
Ni upepo tu mdogo wangu Preta,

Mzima lakini? Vipi hapo chuga?

Nitakuja tu muda si mrefu, ngoja nikaombe nauli kwa bibi!

Mstue marejesho awahi kumwona babu kabla mambo hayajawa mabaya!!

Mzima kabisa babu.....Chugga full kipupwe kama kawa.......karibu sana babu........tupo tele......
 
Last edited by a moderator:
nakumbuka form .3 nilihamia shule mpya, sasa kulikiwa na wababe watoto watandika acha tu, na bouncers kibao, sasa kwangu nilikuwa nafanya mazoezi yangu na akina matumla, sasa niña mwezi tu class ukaibuka ugomvi nikampiga upper cut mtoto wa displine Master akadonsha meno, tangu siku hiyo hakuna aliyenigusa....
 


nakumbuka nikiwa kibaha sekondari nilifumwa gizani naimbisha mtoto wa mwalimu wacha kabisa second master alinipa kipondo heavy hadi nilisinzia
 
Last edited by a moderator:
Msalimie sana katibu Mwanyasi.......awamu hii uje nae......nina mazungumzo nae.......


Huu ujumbe una umuhimu mkubwa sana katibu wangu Mwanyasi..

Ngoja nimpigie simu kwanza ili akusalimie.....
 
Last edited by a moderator:

Hahaaa,,,,,,umenikumbusha st magret,af single school ndo zina mambo coz watu wako free,sisi ukienda toi unavua nguo zote unaacha mlangoni au kwenye misumari nje ya toi,na karatasi yako laini ushaipekecha mapema,hyo kaz ya kupekecha inakua pale ambapo hamna ticha class au kama kuna ticha humpendi,
 

me niliingia f 5 akatokea mvulana flan hv akajifanya mjuaji akatuchora ubaoni wasichana kama wa5,wewee alijuta kunichora nilimsambazia kichapo kikali,,watuu had leo hua hawanielewi yani,c unajua mtu akiwa na kosa anakua mdogo.

kichapo hadi walikuja kuamulia f6,had leo huyo jamaa ananiheshim na shule nzima watu shiii af nikapewa uongozi nikawa nikisema kitu watu ndiooo?!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…