Crazy things you did in secondary school

Crazy things you did in secondary school

Kumbe tuliosoma zamani humu tuko wengi aisee


Sent from my iPhone using JamiiForums app

Suala la disco kwenye shule za enzi zile lilikuwa linapagawisha hadi wakuu wa shule....

Nakumbuka hata walimu especially wa shule ambazo hazikuwa mchanganyiko walikuwa wanajiandaa kupokea walimu wa jinsia tofauti watakaosindikiza wanafunzi kwenye disco....euphoria iliyokuwa inazunguka disco ilikuwa ya hatari sana... Sijui siku hizi hali ikoje!

Mimi nilitumbukia kwenye shimo wakati natoka kuchota maji ya kuoga nikaumia vibaya kiasi cha kushindwa kuvaa viatu...yet niliazima open shoes chap chap na kuzama ndani ya disco.... kwani ukilikosa lazima usubiri miezi kama 6 hivi!
 
Kweli kabisa mkuu,

Kuwa wadau wengi sana, tena muhimu katika huu dunia ya MMU wamepotea sana....

Huyu Da Asha (@AshaDii) kapotea mno hadi anatia shaka. Kuna wadau wengine kama klorokwini, Nyamayao, WoS (@WomanOfSubstance)...na wengine kibao ambao naamini ni wazima ingawa kimya chao kinatia shaka.

Enzi hizo ilikuwa hatari kufungua JF kabla ya kuchapa kazi kwani uwezekano wa kukamatika ulikuwa mkubwa sana. Siku hizi hata ukifungua, bado utaondoka tu....Hakuna sumaku tena!

cc😡Mbu, The Boss, Fixed Point, gfsonwin, KOKUTONA, Preta, marejesho (huyu lazima nimfikishe kwa pilato ndani ya wk 2 zijazo), Blaki Womani, mwenyekiti PakaJimmy na wadau wengine kiboa.....!

Ni kweli.......siku hizi bana imekuwa tofauti.......wengine tumebaki kuwa wasomaji tu........thread nyingi zimekuwa za namna namna.......ila tupo pamoja mkuu......
 
This is nt the crazy thing i did bt rather a crazy thng that happened,infact crazy doesn't begin 2 explain t!! Ilikua ratiba cku hiyo ni nyama,sasa wapishi wanapika pan za kupikia ziko waz unfortunate bonge la mjuc likadondokea kwenye pan alafu hawakuona wala hawakujua nalo likapikiwa humo humo! Kasheshe likaanza mda wa kuserve chakula,jamaa m1 akaona nyama kubwa aka mkomalia anaeserve ampe akapewa!kupewa nyama yenyewe mjusi!! Ilikua ni vurugu mech,!chakula nilichokua nakula cha shule ni wali na nyama 2,baada ya hiyo issue,sikulaga msos wa shule mpaka namaliza!!

Nyinyi ndo mlikuwa watoto wa mama shuleni hamli dona maharage, umenikumbusha siku moja ugali ulipikwa ukiwa na panya sasa jamaa aliyepakuliwa huyopanya liliibuka tifu hadi headmaster akaja kutusihi tusigome badala yake akaamuru wali nyama upikwe jioni yake.
 
Ni kweli.......siku hizi bana imekuwa tofauti.......wengine tumebaki kuwa wasomaji tu........thread nyingi zimekuwa za namna namna.......ila tupo pamoja mkuu......


Ni upepo tu mdogo wangu Preta,

Mzima lakini? Vipi hapo chuga?

Nitakuja tu muda si mrefu, ngoja nikaombe nauli kwa bibi!

Mstue marejesho awahi kumwona babu kabla mambo hayajawa mabaya!!
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha

hivi mkuu marejesho na Philipo wameshapeana talaka?


Talaka ya nini tena mkuu?

Hawa watu bado ni wanandoa watiifu na kila mwanaJF analijua hilo, babu ni shuhuda nambari moja.....

Kwa hiyo hata Filipo anajua kuwa babu ana kesi na marejesho. Na ndiyo maana nikaweka hapa badala ya kukimbilia kule mafichoni....

Babu hawezi kufanya miscalculations za kipuuzi kama za mzee Werema!
 
Last edited by a moderator:
nakumbuka form .3 nilihamia shule mpya, sasa kulikiwa na wababe watoto watandika acha tu, na bouncers kibao, sasa kwangu nilikuwa nafanya mazoezi yangu na akina matumla, sasa niña mwezi tu class ukaibuka ugomvi nikampiga upper cut mtoto wa displine Master akadonsha meno, tangu siku hiyo hakuna aliyenigusa....
 
ha ha ha ha ha ha..........

mpaka nimesahau kuandika vyangu.......

aksante sana Invisible , Dark City , Kongosho na wengineo wote kwa kutuchangamsha na visa vya zamani....

wapi Evelyn Salt , King'asti , lusungo , Karucee ,[MENTION]ralpunzel[/MENTION] , Jawilat , Arushaone , Preta , Mamndenyi , Mauno , masai dada watu8 Heaven on Earth , charminglady na wengineo


nakumbuka nikiwa kibaha sekondari nilifumwa gizani naimbisha mtoto wa mwalimu wacha kabisa second master alinipa kipondo heavy hadi nilisinzia
 
Last edited by a moderator:
Msalimie sana katibu Mwanyasi.......awamu hii uje nae......nina mazungumzo nae.......


Huu ujumbe una umuhimu mkubwa sana katibu wangu Mwanyasi..

Ngoja nimpigie simu kwanza ili akusalimie.....
 
Last edited by a moderator:
Siku ya Graduation pale Mazengo Sec mwaka 1985, kiongozi wa sherehe alikuwa mshikaji wangu Kasanga. Basi nilimfuata na Kisadolini changu na akanijazia Pilau. Pilau la Mazengo miaka hiyo lilikuwa kali sana. Kwa wenyeji wa Dodoma watakuwa wanamkumbuka Mzee Mapilau na yale Mapipa yake (SHABA). Nilikula siku hiyo hadi nikawa siwezi kuhema. Jamaa walishangaa kuwa mbona hawaoni tumbo kutokea. Basi kutoka siku hiyo nikajulikana kuwa nina tumbo kama la Mamba, linafutuka pembeni.......
Upuuzi wa Mazengo ilikuwa ni chooni. Utakuta mtu anapita koridoni na karatasi yake anaipekecha ili ilainike.... "pyeke pyeke pyeke..." na akitoka huko basi anapita kwenye ule mti nyuma ya bweni la Mwongozo na kujipigapiga na mtawi. Hii ilikuwa inasaidia kuuwa ile perfume uliyoikwaa kule NYUMBA KUBWA. Ule mti ulikuwa na harufu moja kali sana na ukitoka hapo unanukia freshi. Mabinti wa Msalato, mlivumiliaje ile harufu??

Hahaaa,,,,,,umenikumbusha st magret,af single school ndo zina mambo coz watu wako free,sisi ukienda toi unavua nguo zote unaacha mlangoni au kwenye misumari nje ya toi,na karatasi yako laini ushaipekecha mapema,hyo kaz ya kupekecha inakua pale ambapo hamna ticha class au kama kuna ticha humpendi,
 
nakumbuka form .3 nilihamia shule mpya, sasa kulikiwa na wababe watoto watandika acha tu, na bouncers kibao, sasa kwangu nilikuwa nafanya mazoezi yangu na akina matumla, sasa niña mwezi tu class ukaibuka ugomvi nikampiga upper cut mtoto wa displine Master akadonsha meno, tangu siku hiyo hakuna aliyenigusa....

me niliingia f 5 akatokea mvulana flan hv akajifanya mjuaji akatuchora ubaoni wasichana kama wa5,wewee alijuta kunichora nilimsambazia kichapo kikali,,watuu had leo hua hawanielewi yani,c unajua mtu akiwa na kosa anakua mdogo.

kichapo hadi walikuja kuamulia f6,had leo huyo jamaa ananiheshim na shule nzima watu shiii af nikapewa uongozi nikawa nikisema kitu watu ndiooo?!!!
 
Back
Top Bottom