Kweli kabisa mkuu,
Kuwa wadau wengi sana, tena muhimu katika huu dunia ya MMU wamepotea sana....
Huyu Da Asha (@AshaDii) kapotea mno hadi anatia shaka. Kuna wadau wengine kama
klorokwini,
Nyamayao, WoS (@WomanOfSubstance)...na wengine kibao ambao naamini ni wazima ingawa kimya chao kinatia shaka.
Enzi hizo ilikuwa hatari kufungua JF kabla ya kuchapa kazi kwani uwezekano wa kukamatika ulikuwa mkubwa sana. Siku hizi hata ukifungua, bado utaondoka tu....Hakuna sumaku tena!
cc
😡Mbu,
The Boss,
Fixed Point,
gfsonwin,
KOKUTONA,
Preta,
marejesho (huyu lazima nimfikishe kwa pilato ndani ya wk 2 zijazo),
Blaki Womani, mwenyekiti
PakaJimmy na wadau wengine kiboa.....!