DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Kuiba kuku wa mapadri, na kwenda kuwakaanga porini, ndani ya pango
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna staff alilima nyanya maeneo ya bwenini... Nadhani hakuvuna ata moja! Wacheche tulijipa umiliki wa shamba... Alafu mmoja wetu alikua anatunza funguo za store ya jikoni... Tunaiba vitunguu na chumvi kutengeneza kachumbari kila siku.nkumbuka nilivuna mahindi ya ticha wa darasa shamba zima
Na mie maharage nilikua nakula nikijisikia tu!!! Nilifoji magonjwa na ulcers ikiwemo [emoji23][emoji23][emoji23] tukawa tunapewa cabbage au spinach. Chai napewa ya maziwaNilifoji cheti cha hospital ili ionekane nina ulcers so sitakiwi kula maharage nikawa napewa mboga za majani.
[emoji23][emoji23][emoji23]nakumbuka chekechea niliwai liaa sana eti nimepoteza beg la kubebea daftar nilitafutaa we uku nalia kumbe nilikuwa nimelivaa mgongoni#i'll never 4get
Kuna staff alilima nyanya maeneo ya bwenini... Nadhani hakuvuna ata moja! Wacheche tulijipa umiliki wa shamba... Alafu mmoja wetu alikua anatunza funguo za store ya jikoni... Tunaiba vitunguu na chumvi kutengeneza kachumbari kila siku.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umenikumbusha siku tunachoma mahind ya HM usiku kweny shimo la taka, sasa kumbe tumekaa kwenye siafu, na wale walivyo na sifa mpka wakijaa vzr ndo wanaanza kung'ata, tukahamaki tunang'atwa ,tulitimua kufka dom kumbe master alijua mchezo alishafunga milango na kuzima taa, Jaman jaman tuling'atwa na siafu, ilibid Twende kweny mabwen ya wasichana kwa nnje kuna taa ili tujiokoe kujitoa siafu, Sasa wao wamezima taa ss tunajitia Hatuonekan, kumbe wanatuchora tuu tukiokoa mayai yetu, Mmoja wetu kushtukia dili ,wote wakaanza kucheka hapo wameona vya kutosha, Nakumbuka Jamaa wangu Enock alikua brazamen sana na wa kishua, alihama shule. sasa walinz walivyo na njaa nao walienda kula mahind yote, kesho yake n magunzi tuu Km karakana
Jina lake nani?Sijui ndugu ila kama hakwenda jeshini basi nadhani atakua jambazi sasa hivi au daktari sijui maana alikua anafanya PCB
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji23] [emoji1]Kuiba kuku wa mapadri, na kwenda kuwakaanga porini, ndani ya pango
Nimecheka sana hii.Sisahau yale maisha, Unaacha ndo ya kuogea bafuni, kitend cha kuingia Domitor kuvaa, kutoka tyr Imejaa uji watu wanajisevia
Mkuu umenikumbusha longNilikuwa nikienda kupiga punyeto!najitayarisha kama naenda library na bweni lazima wajue!!!nabeba kikopo changu,sabuni na picha ya kunipa stimu demu kakaa kihasara ni ya porn! hiyo tulikuwa tunaazimana kwa kila mpiga nyeto!
Uji?Sisahau yale maisha, Unaacha ndo ya kuogea bafuni, kitend cha kuingia Domitor kuvaa, kutoka tyr Imejaa uji watu wanajisevia
Hujaelewa vip hapo mkuuUji?
How?
Yaani sijaelewa, uji huu wa kunywa watu wanajaza kwenye ndoo ya bafuni.?!Hujaelewa vip hapo mkuu
yaaaps, unakuta mpo team, kuliko kuchukua kila mtu kweny kikombe mnabeba ndoo nzima mnaenda kujiseviaYaani sijaelewa, uji huu wa kunywa watu wanajaza kwenye ndoo ya bafuni.?!
Sasa ndio wabebe ndoo ya chooni.?!yaaaps, unakuta mpo team, kuliko kuchukua kila mtu kweny kikombe mnabeba ndoo nzima mnaenda kujisevia