Crazy things you did in secondary school

Crazy things you did in secondary school

Mwalimu kaingia darasani.wanafunzi wakasalimia kwa kusimama.kidume sijasimama.ticha akaniona.

akaniuliza mbona haujasimama?nikamjibu naumwa.akaniambia nenda ofisini ukalale kwenye godoro.nimeenda nikakuta walimu kibaaaao.

nikasema hapa silali.kumbe mwalimu alikuwa ananifatilia.akaniona nimesimama nje ya mlango wa ofisi.akanishika mkono akaniingiza ofisini.akanichongea kwa walimu kwamba sina adabu.

nilichezeaaaa.
 
Kuna staff alilima nyanya maeneo ya bwenini... Nadhani hakuvuna ata moja! Wacheche tulijipa umiliki wa shamba... Alafu mmoja wetu alikua anatunza funguo za store ya jikoni... Tunaiba vitunguu na chumvi kutengeneza kachumbari kila siku.

Umenikumbusha siku tunachoma mahind ya HM usiku kweny shimo la taka, sasa kumbe tumekaa kwenye siafu, na wale walivyo na sifa mpka wakijaa vzr ndo wanaanza kung'ata, tukahamaki tunang'atwa ,tulitimua kufka dom kumbe master alijua mchezo alishafunga milango na kuzima taa, Jaman jaman tuling'atwa na siafu, ilibid Twende kweny mabwen ya wasichana kwa nnje kuna taa ili tujiokoe kujitoa siafu.

Sasa wao wamezima taa ss tunajitia Hatuonekan, kumbe wanatuchora tuu tukiokoa mayai yetu, Mmoja wetu kushtukia dili ,wote wakaanza kucheka hapo wameona vya kutosha, Nakumbuka Jamaa wangu Enock alikua brazamen sana na wa kishua, alihama shule.

sasa walinz walivyo na njaa nao walienda kula mahind yote, kesho yake n magunzi tuu Km karakana
 
Umenikumbusha siku tunachoma mahind ya HM usiku kweny shimo la taka, sasa kumbe tumekaa kwenye siafu, na wale walivyo na sifa mpka wakijaa vzr ndo wanaanza kung'ata, tukahamaki tunang'atwa ,tulitimua kufka dom kumbe master alijua mchezo alishafunga milango na kuzima taa, Jaman jaman tuling'atwa na siafu, ilibid Twende kweny mabwen ya wasichana kwa nnje kuna taa ili tujiokoe kujitoa siafu, Sasa wao wamezima taa ss tunajitia Hatuonekan, kumbe wanatuchora tuu tukiokoa mayai yetu, Mmoja wetu kushtukia dili ,wote wakaanza kucheka hapo wameona vya kutosha, Nakumbuka Jamaa wangu Enock alikua brazamen sana na wa kishua, alihama shule. sasa walinz walivyo na njaa nao walienda kula mahind yote, kesho yake n magunzi tuu Km karakana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Upo kwenye chumba cha mtihani wakati wa kipindi cha history essay ilikuwa tatizo una karatasi ya kwanza bado haijajazwa hata nusu lakini wenzako wanaomba karatasi ya nane mpaka unajiuliza hawa wanafanya mtihani ninaoufanya mimi?
 
Yaani sijaelewa, uji huu wa kunywa watu wanajaza kwenye ndoo ya bafuni.?!
yaaaps, unakuta mpo team, kuliko kuchukua kila mtu kweny kikombe mnabeba ndoo nzima mnaenda kujisevia
 
Back
Top Bottom