CRDB bank inafilisika?

CRDB bank inafilisika?

Siku za karibun crdb imekuwa ikishambuliwa sana....ila kwa kweli kabsa watoa hoja hawatoi mbadala wa benki...hasa kwa kuzingatia vigezo wanavyotoa....binafsi nafiriki crdb inazitisha baadhi ya taasisi...sasa zimeanzisha kampeni maalumu ya kuidiscredit hii benk...nakubali kweli inamapungufu....ila mmbadala wake sasa.....?!
 
...
  1. Kufilisika ndio hiyo kushindwa ku-maintain na kuboresha huduma ulizo nazo.
  2. MPESA inafanya customer satisfaction best than CRDB. Available all the time, money available all the time and MPesa customer hotline available all the time as well. CRDB amkeni la sivyo kwa sasa tunaiona benki kama kabla ya kuendeshwa na ninyi.
  3. Kama unabisha piga namba yao hata ile inayosema kama hutambui muamala huu piga namba fulani ambayo haipokelewi na hivyo kutokuleta maana ya bank that listens. Biashara ya huduma it is either you do it properly or do not attempt --- CRDB must learn that.
Hizo ndio Point za kusema kuwa CRDB imekufa????
Leta ushahidi mwingine kwani kuna Bank km NMB ya RABO wala sio Benki yetu ya makabwela tena sijui jamaa wa Amerika ya Kati imeshikilia Idara zote za Serikali na Halimashauri Tanzania nzima lakini ni bogus kuliko haka Equit au Exim au hata Akiba kwani ukiwa na current a/c usipoiendesha mwaka mzima unakuta Deni la service charge zaidi ya 240,000/

CRDB huku Dodoma ndio Benki pekee inayouhudumia watu wengi na hasa vijana wa vyuo vyote UDOM, St John, IRDP, Hombolo na Sekondari na wanahudumiwa kwa kasi ya ajabu
wakishindwa ndio wanaenda M-Pesa kupiga simu
 
Mshiiri!
Hata kama una lengo la kuchafua benki pinzani ya unayofanyia kazi si kwa style hii. Huna ushahidi wowote kuwa Call Centre imezikwa, ulipiga lini na saa ngapi na haikupokelewa? Are you sure hakuna maboresho yoyote ya huduma kwa wateja on last ten years? .Acha ushamba
 
Mshiiri
Inasikitisha kuwa badala ya kujenga hoja unapayuka na kurusha maneno tu. Mteja wa ukweli anatakiwa kutoa malalamiko yake kwenye njia sahihi za complain mgmt. Sasa unapotoa malalamiko yako kwenye social forums unalenga nini? Au hata zile mesage za kizushi unazotuma kwenye whatsup kuwa kuna mteja kakabwa na kuibiwa ndani ya tawi la CRDB Tegeta ulilipwa shilingi ngapi?. Get a life
 
Share gani yaani unafananisha CRDB na NBC iliyonunuliwa na mkaburu? wakimataifa, nikiwa kama mzawa kujivunia benki yangu ya CRDB nami ni mmojawapo wa wamiliki wa benk unaponunua share nawe ni mmiliki hamjui nn maana ya share nenda kasome Economics urudi kuandika vitu vya uhakika usiwe unakurupuka
 
Last edited by a moderator:
Inaanza kutia sana wasiwasi habari za mtaani kuwa CRDB inachoka. Huduma zake nyingi zimechoka. Simu yao ya call centre imezikwa kabisa. Huduma matawini bora liende na hamna jipya last 10 years in terms of upgrading customer services. Fall in ni ndefu wakati siku hizi bank kubwa zote zinakuwa na electronic system to register customers as they enter the bank and wait while seated. Hii ni rahisi. Dalili kubwa ni ATMs mara nyingi hazina fedha, mtandao na cards kusumbua, na call centre kuwa kaburini, simu zote zilizopo online katika contact page hazipokelewi na nyingine zimekufa.

CRDB inakufa kwa kuwa kauli mbio yao haifanyiwi kazi tena na hivyo haina uhai tena -- "The Bank that listens" and when a dying process has started you will see all that the 'Bank that is Deaf'

Its so sad kukubaliwa kutumiwa!
 
Mshiiri!
Hata kama una lengo la kuchafua benki pinzani ya unayofanyia kazi si kwa style hii. Huna ushahidi wowote kuwa Call Centre imezikwa, ulipiga lini na saa ngapi na haikupokelewa? Are you sure hakuna maboresho yoyote ya huduma kwa wateja on last ten years? .Acha ushamba

Si mimi kaka, wachawi wa CRDB ni CRDB wenyewe kwa kutokutoa huduma stahili. Call centre sijaiweka mimi, wala uzembe si wangu. Ni haki yangu kulalamika popote. Usini-patronise hapa. Hata kama wewe ni mkuu wa customer care CRDB na uko responsible bado utabaki responsible as long as this post is valid.

Mshamba ni wewe unafikiri social forums ni kuangalia jukwaa la kikubwa pekee. Hata kutundika wazembe katika huduma za jamii na ndio maana hata hujui hili jukwaa lenye hii mada linaitwaje. Wewe si mshamba tu bali ni sukununu.
 
Umepaniki braza. Huo ushamba wako ndio unakufanya ukubali kutumiwa kama dekio then kutupwa. Mafala kama nyinyi ndio mnapotezea watu muda wa kuzalisha mali kwa point zenu za kipumbavu kwenye mitandao ya jamii. If you are depressed with loneliness au kukosa ajira basi jinyonge tukuzike
 
Wewe mtoa mada gusa pengine itakua uliomba mkopo ukanyimwa wewe analysis ya uongo kweli hyo waiting while seated ipo moshi,mwanza branch na nyingine nyingi,ATM kuharibika ni kawaida sana hata hzo unazodhani ni nZuri zina matatizo.
 
Mwambie huyu. Inafika mahali tuwe wakweli sio kila siku kulalamika tu.
 
Mwambie huyu. Inafika mahali tuwe wakweli sio kila siku kulalamika tu.

Niseme bila kupepesa macho, CRDB kwa viwango vya taasisi nyingi hapa nyumbani Tanzania wako juu. Tatizo laweza kuwa tunalinganisha na benki za majuu, matatizo ya network yapo,kama ni huduma bora kabisa unataka, basi nenda lile Tawi la Azikiwe nyuma kule, wanene wamewekewa na kahawa kabisa ila unalipia huduma kwa malipo makubwa au uwe member.
 
Share gani yaani unafananisha CRDB na NBC iliyonunuliwa na mkaburu? wakimataifa, nikiwa kama mzawa kujivunia benki yangu ya CRDB nami ni mmojawapo wa wamiliki wa benk unaponunua share nawe ni mmiliki hamjui nn maana ya share nenda kasome Economics urudi kuandika vitu vya uhakika usiwe unakurupuka

Chimbilili ningekushaur next tm ucandike jambo usilo lijuwa, kwa nilazima ujuwe crdb ni plc wakati nbc ni Ltd! Pia kwa taarifa tu ukwasi ilio nao NBC nimkubwa kushinda wa Crdb plc na nirahisi sana kulijuwa hilo, kaiulize serikal kwanini hataki kutoa zile hisa zake kwa wazungu? Jibu ni moja tu inajuwa thaman naukubwa wa hii bank. Mimi nina hisa crdb zaid ya elfu na kitu lakini naweza sema hisa zangu zimedumaa ukilinganisha na hisa nilizo nazo NMB PLC, ukianza tu na hisa crdba plc hamna kitu wanapika report nakwakuwa nchi yetu mambo huwendeshwa kisiasa basi bora liende tangu crdb auze hisa yake mpaka leo haijawah vuka tsh500/= inashindwa hata na DCB. Sasa ujiulize nini kinafanyika ndani ya hii bank? Jambo lingine ambalo hatupaswi kushabikia hivi majuz umoja wa ulaya umeikopesha crdb mamilion ya EUR ili ku bust ukwasi wake which means wanatumia zaidi yakile walicho nacho hapa pia ni red light huwez linganisha hata punje na NBC, Jambo lingine hv majuz wameifund serikal mamilion unajuwa athari zake ktk mzunguko wa bank? Hapa csemi nadhan unitafute nikwambie. Crdb wameanzisha projects nyingi ikiwamo ile ya electron ticket ambayo ime fail jambo ambalo litaenda kuwalete haza kubwa uko mbelen. Kama ujuwi hawa jamaa wanakopesha na mahali wamefikia naweza sema ni red line nakwakuwa siasa na propaganda ktk vyombo pesa vinawezekana lazima kunasiku ukweli utajulikana. Jambo lingine la hatari sana ni expenditure hapa pia kuna red light huwez kamwe kulinganisha crdb plc ktk matumiz na NBC kamwe haitowe zekana. Na pia kwa taarifa tu hata crdb wazungu wapo tena huwenda uko tuendako itakuwa pia ya wazungu maana tayari kuna red light ktk uwendeshaji. Jaman yapo meng ila haya ni kwa ufupi tu japo BOT ndie anae weza twambia ikiwa crdb anaenda filisika au laa no me or u. Thx
 
Last edited by a moderator:
Siku za karibun crdb imekuwa ikishambuliwa sana....ila kwa kweli kabsa watoa hoja hawatoi mbadala wa benki...hasa kwa kuzingatia vigezo wanavyotoa....binafsi nafiriki crdb inazitisha baadhi ya taa
sisi...sasa zimeanzisha kampeni maalumu ya kuidiscredit hii benk...nakubali kweli inamapungufu....ila mmbadala wake sasa.....?!

Mkuu umeongea jambo la msingi sana hawa wataalam wa mambo ya ki bank mtuambie mbadala wa Crdb maana mimi mzigo wote upo huko crdb mtusaidie twende wapi bank nzuri jamani ndg zetu wataalamu
 
Inaanza kutia sana wasiwasi habari za mtaani kuwa CRDB inachoka. Huduma zake nyingi zimechoka. Simu yao ya call centre imezikwa kabisa. Huduma matawini bora liende na hamna jipya last 10 years in terms of upgrading customer services. Fall in ni ndefu wakati siku hizi bank kubwa zote zinakuwa na electronic system to register customers as they enter the bank and wait while seated. Hii ni rahisi. Dalili kubwa ni ATMs mara nyingi hazina fedha, mtandao na cards kusumbua, na call centre kuwa kaburini, simu zote zilizopo online katika contact page hazipokelewi na nyingine zimekufa.

CRDB inakufa kwa kuwa kauli mbio yao haifanyiwi kazi tena na hivyo haina uhai tena -- "The Bank that listens" and when a dying process has started you will see all that the 'Bank that is Deaf'

Customers beware

Mkuu Usisahau Na Kuongezeka Kwa Kiwango Cha Pesa Kinachotakiwa Kubaki Kwenye Akaunt "Masalio Halisi"
 
Mwaka jana wamepost profit of >Tsh 100mil. Sasa kufilisika kwa aje?

Financial Statement as at 30th September, 2014 (
attachment.php
 
Attachments

  • Capture.PNG
    Capture.PNG
    44.6 KB · Views: 308
Chimbilili ningekushaur next tm ucandike jambo usilo lijuwa, kwa nilazima ujuwe crdb ni plc wakati nbc ni Ltd! Pia kwa taarifa tu ukwasi ilio nao NBC nimkubwa kushinda wa Crdb plc na nirahisi sana kulijuwa hilo, kaiulize serikal kwanini hataki kutoa zile hisa zake kwa wazungu? Jibu ni moja tu inajuwa thaman naukubwa wa hii bank. Mimi nina hisa crdb zaid ya elfu na kitu lakini naweza sema hisa zangu zimedumaa ukilinganisha na hisa nilizo nazo NMB PLC, ukianza tu na hisa crdba plc hamna kitu wanapika report nakwakuwa nchi yetu mambo huwendeshwa kisiasa basi bora liende tangu crdb auze hisa yake mpaka leo haijawah vuka tsh500/= inashindwa hata na DCB. Sasa ujiulize nini kinafanyika ndani ya hii bank? Jambo lingine ambalo hatupaswi kushabikia hivi majuz umoja wa ulaya umeikopesha crdb mamilion ya EUR ili ku bust ukwasi wake which means wanatumia zaidi yakile walicho nacho hapa pia ni red light huwez linganisha hata punje na NBC, Jambo lingine hv majuz wameifund serikal mamilion unajuwa athari zake ktk mzunguko wa bank? Hapa csemi nadhan unitafute nikwambie. Crdb wameanzisha projects nyingi ikiwamo ile ya electron ticket ambayo ime fail jambo ambalo litaenda kuwalete haza kubwa uko mbelen. Kama ujuwi hawa jamaa wanakopesha na mahali wamefikia naweza sema ni red line nakwakuwa siasa na propaganda ktk vyombo pesa vinawezekana lazima kunasiku ukweli utajulikana. Jambo lingine la hatari sana ni expenditure hapa pia kuna red light huwez kamwe kulinganisha crdb plc ktk matumiz na NBC kamwe haitowe zekana. Na pia kwa taarifa tu hata crdb wazungu wapo tena huwenda uko tuendako itakuwa pia ya wazungu maana tayari kuna red light ktk uwendeshaji. Jaman yapo meng ila haya ni kwa ufupi tu japo BOT ndie anae weza twambia ikiwa crdb anaenda filisika au laa no me or u. Thx

Lengo la Benki ya Ulaya kuikopesha Benki ya CRDB ni kwa ajili wa wajasiliamari na sio kuwa benki haina uwezo wa kuwakopesha. Hili ni jambo la kawaida kabisa kwani hata African Devt Bank hupokesha benki nyingi hapa nchini ili nazo zitoe mikopo kwa wateja. Acha kukurupuka!
Hiyo NBC yako unayoishabikia ndio mabingwa wa kupika, jiulize katika kipindi cha miaka kumi iliyopita benki yako imeshabadili na kufukuza Ma CEo wangapi? If all is well as you potray?.Tufanye kazi jamani tuache siasa kwenye mambo ya msingi.
 
Back
Top Bottom