Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo haitoshi kujustfy kwani tawi la lumumba ndo linaoperate nchi nzima??
Na makampuni ya simu yanawashikisha adabu mdogo mdogo...maana sasa hivi CRDB nao wana vibanda vya kuweka na kutoa pesa....na wanatoa Passo...
Nilikuwa nacheka siku moja na mume wangu baada ya kusikia tangazo...nkasema sasa hii benki au kampuni ya simu...na bado...wameamua ku join TIGO na M-Pesa
Mdada kwa hilo hauko sawa kabisa, siku hizi naona Kama natembea na akaunti mkononi vile. Nilikuwa Mpanda ndanindani niliweza kupata pesa kupitia Tigopesa. Niliamisha toka akaunti kwenda Tigopesa. Nawapa hongera sana hawa jamaa maana nilikuwa nimebanwa sina kitu kabisa.
ngoja nifuatilie then nitakuja ku comments
Sasa unampongeza Tigopesa au Bank...mbona tunaongea same language??????
Lengo la Benki ya Ulaya kuikopesha Benki ya CRDB ni kwa ajili wa wajasiliamari na sio kuwa benki haina uwezo wa kuwakopesha. Hili ni jambo la kawaida kabisa kwani hata African Devt Bank hupokesha benki nyingi hapa nchini ili nazo zitoe mikopo kwa wateja. Acha kukurupuka!
Hiyo NBC yako unayoishabikia ndio mabingwa wa kupika, jiulize katika kipindi cha miaka kumi iliyopita benki yako imeshabadili na kufukuza Ma CEo wangapi? If all is well as you potray?.Tufanye kazi jamani tuache siasa kwenye mambo ya msingi.
Profit yao ni million 100? Naona hesabu hujui kabisa ingia kwenye mtando wao uone walipata Trillion ngapi faida kwa mwaka! Jile79