laticka
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 344
- 130
Mwaka jana wamepost profit of >Tsh 100mil. Sasa kufilisika kwa aje?
100 m au b?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka jana wamepost profit of >Tsh 100mil. Sasa kufilisika kwa aje?
Zumbukuku Ulimwengu uko huku
Chimbilili ningekushaur next tm ucandike jambo usilo lijuwa, kwa nilazima ujuwe crdb ni plc wakati nbc ni Ltd! Pia kwa taarifa tu ukwasi ilio nao NBC nimkubwa kushinda wa Crdb plc na nirahisi sana kulijuwa hilo, kaiulize serikal kwanini hataki kutoa zile hisa zake kwa wazungu? Jibu ni moja tu inajuwa thaman naukubwa wa hii bank. Mimi nina hisa crdb zaid ya elfu na kitu lakini naweza sema hisa zangu zimedumaa ukilinganisha na hisa nilizo nazo NMB PLC, ukianza tu na hisa crdba plc hamna kitu wanapika report nakwakuwa nchi yetu mambo huwendeshwa kisiasa basi bora liende tangu crdb auze hisa yake mpaka leo haijawah vuka tsh500/= inashindwa hata na DCB. Sasa ujiulize nini kinafanyika ndani ya hii bank? Jambo lingine ambalo hatupaswi kushabikia hivi majuz umoja wa ulaya umeikopesha crdb mamilion ya EUR ili ku bust ukwasi wake which means wanatumia zaidi yakile walicho nacho hapa pia ni red light huwez linganisha hata punje na NBC, Jambo lingine hv majuz wameifund serikal mamilion unajuwa athari zake ktk mzunguko wa bank? Hapa csemi nadhan unitafute nikwambie. Crdb wameanzisha projects nyingi ikiwamo ile ya electron ticket ambayo ime fail jambo ambalo litaenda kuwalete haza kubwa uko mbelen. Kama ujuwi hawa jamaa wanakopesha na mahali wamefikia naweza sema ni red line nakwakuwa siasa na propaganda ktk vyombo pesa vinawezekana lazima kunasiku ukweli utajulikana. Jambo lingine la hatari sana ni expenditure hapa pia kuna red light huwez kamwe kulinganisha crdb plc ktk matumiz na NBC kamwe haitowe zekana. Na pia kwa taarifa tu hata crdb wazungu wapo tena huwenda uko tuendako itakuwa pia ya wazungu maana tayari kuna red light ktk uwendeshaji. Jaman yapo meng ila haya ni kwa ufupi tu japo BOT ndie anae weza twambia ikiwa crdb anaenda filisika au laa no me or u. Thx
Na makampuni ya simu yanawashikisha adabu mdogo mdogo...maana sasa hivi CRDB nao wana vibanda vya kuweka na kutoa pesa....na wanatoa Passo...
Nilikuwa nacheka siku moja na mume wangu baada ya kusikia tangazo...nkasema sasa hii benki au kampuni ya simu...na bado...wameamua ku join TIGO na M-Pesa
Zumbukuku ulimwengu uko huku.
Hiyo agent banking concept haijaanza leo duniani. Imeshapata mafanikio makubwa sana Brazil, indonesia na hata Kenya. Lengo ni kuwafikia watu wengi zaidi katika gharama ndogo iwezekanavyo. Watanzania 13% ndio wamefikiwa na mabenki. Halafu wewe unadhihaki agent banking. Kuna umuhimu sana wa kujisomea ili kupata ujuzi wa vitu kama hivi. Kampuni za simu sio direct competitor wa mabenki.
Wewe peleka feedback CRDB...wateja tuna kero...badala ya kuwa busy kutujibu...
Ndio tatizo ya ngozi nyeusi...badala ya kusema kero yenu tunashughulikia unatafuta ku justify kila kitu...
Inaanza kutia sana wasiwasi habari za mtaani kuwa CRDB inachoka. Huduma zake nyingi zimechoka. Simu yao ya call centre imezikwa kabisa. Huduma matawini bora liende na hamna jipya last 10 years in terms of upgrading customer services. Fall in ni ndefu wakati siku hizi bank kubwa zote zinakuwa na electronic system to register customers as they enter the bank and wait while seated. Hii ni rahisi. Dalili kubwa ni ATMs mara nyingi hazina fedha, mtandao na cards kusumbua, na call centre kuwa kaburini, simu zote zilizopo online katika contact page hazipokelewi na nyingine zimekufa.
CRDB inakufa kwa kuwa kauli mbio yao haifanyiwi kazi tena na hivyo haina uhai tena -- "The Bank that listens" and when a dying process has started you will see all that the 'Bank that is Deaf'
Customers beware
Wewe peleka feedback CRDB...wateja tuna kero...badala ya kuwa busy kutujibu...
Ndio tatizo ya ngozi nyeusi...badala ya kusema kero yenu tunashughulikia unatafuta ku justify kila kitu...
Huo umuhimu wameuona baada ya TIGO na VODa kukamata fursa?
Huko Brazil unakozungumzia kuna TIGO na M Pesa? Unajua kuwa hizi sijui M Pesa haziko latin America??????
Sisi tumeshafikiwa na huduma za kutuma na kupokea pesa kwa simu...wao waboreshe huduma za kibenki badala ya kuwa ambitious kufikia kila mtu...na kuishia kuwapoteza hata walio nao mkononi...
Haya SI ya kweli hata kidogo. Hapa Bongo, benki ambayo ina unafuu na imepiga hatua sana ni CRDB kwenye banking sectors nyingi sana. Mbona ATM hazisumbui kama unavyodai wewe? Kama vip basi uwe unatumia SIM Banking, ya kwamba usiwe unaenda tena ATM center kuchkua pesa, but uchkulie kwenye MPESA/TIGO PESAInaanza kutia sana wasiwasi habari za mtaani kuwa CRDB inachoka. Huduma zake nyingi zimechoka. Simu yao ya call centre imezikwa kabisa. Huduma matawini bora liende na hamna jipya last 10 years in terms of upgrading customer services. Fall in ni ndefu wakati siku hizi bank kubwa zote zinakuwa na electronic system to register customers as they enter the bank and wait while seated. Hii ni rahisi. Dalili kubwa ni ATMs mara nyingi hazina fedha, mtandao na cards kusumbua, na call centre kuwa kaburini, simu zote zilizopo online katika contact page hazipokelewi na nyingine zimekufa.
CRDB inakufa kwa kuwa kauli mbio yao haifanyiwi kazi tena na hivyo haina uhai tena -- "The Bank that listens" and when a dying process has started you will see all that the 'Bank that is Deaf'
Customers beware
Tatizo lako ni uelewa mdogo. Suala sio tigo wa Mpesa. Agent huyo huyo anaweza kuwa wa tigo, Mpesa, CRDB, MaxMalipo, Equity etc! Nani ka kwambia Brazil hakuna Tigo?. Unajua agent banking model imeanzia wapi? Kwa taarifa yako NMB, NBC, Equity, DCB wote wana mawakala. Sioni tatizo hapa. Again jaribu kusoma ili ufute ujinga. Una huzunisha sana