MR UNINFORMED
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 1,069
- 1,209
Hizo ndio Point za kusema kuwa CRDB imekufa????...
- Kufilisika ndio hiyo kushindwa ku-maintain na kuboresha huduma ulizo nazo.
- MPESA inafanya customer satisfaction best than CRDB. Available all the time, money available all the time and MPesa customer hotline available all the time as well. CRDB amkeni la sivyo kwa sasa tunaiona benki kama kabla ya kuendeshwa na ninyi.
- Kama unabisha piga namba yao hata ile inayosema kama hutambui muamala huu piga namba fulani ambayo haipokelewi na hivyo kutokuleta maana ya bank that listens. Biashara ya huduma it is either you do it properly or do not attempt --- CRDB must learn that.
tajiri alienunua shea 80% ameandika notes ya kutoa shea yake
Inaanza kutia sana wasiwasi habari za mtaani kuwa CRDB inachoka. Huduma zake nyingi zimechoka. Simu yao ya call centre imezikwa kabisa. Huduma matawini bora liende na hamna jipya last 10 years in terms of upgrading customer services. Fall in ni ndefu wakati siku hizi bank kubwa zote zinakuwa na electronic system to register customers as they enter the bank and wait while seated. Hii ni rahisi. Dalili kubwa ni ATMs mara nyingi hazina fedha, mtandao na cards kusumbua, na call centre kuwa kaburini, simu zote zilizopo online katika contact page hazipokelewi na nyingine zimekufa.
CRDB inakufa kwa kuwa kauli mbio yao haifanyiwi kazi tena na hivyo haina uhai tena -- "The Bank that listens" and when a dying process has started you will see all that the 'Bank that is Deaf'
Its so sad kukubaliwa kutumiwa!
Mshiiri!
Hata kama una lengo la kuchafua benki pinzani ya unayofanyia kazi si kwa style hii. Huna ushahidi wowote kuwa Call Centre imezikwa, ulipiga lini na saa ngapi na haikupokelewa? Are you sure hakuna maboresho yoyote ya huduma kwa wateja on last ten years? .Acha ushamba
Mwaka jana wamepost profit of >Tsh 100mil. Sasa kufilisika kwa aje?
Wewe mtoa mada gusa pengine itakua uliomba mkopo ukanyimwa wewe analysis ya uongo kweli hyo waiting while seated ipo moshi,mwanza branch na nyingine nyingi,ATM kuharibika ni kawaida sana hata hzo unazodhani ni nZuri zina matatizo.
Mwambie huyu. Inafika mahali tuwe wakweli sio kila siku kulalamika tu.
Share gani yaani unafananisha CRDB na NBC iliyonunuliwa na mkaburu? wakimataifa, nikiwa kama mzawa kujivunia benki yangu ya CRDB nami ni mmojawapo wa wamiliki wa benk unaponunua share nawe ni mmiliki hamjui nn maana ya share nenda kasome Economics urudi kuandika vitu vya uhakika usiwe unakurupuka
Siku za karibun crdb imekuwa ikishambuliwa sana....ila kwa kweli kabsa watoa hoja hawatoi mbadala wa benki...hasa kwa kuzingatia vigezo wanavyotoa....binafsi nafiriki crdb inazitisha baadhi ya taa
sisi...sasa zimeanzisha kampeni maalumu ya kuidiscredit hii benk...nakubali kweli inamapungufu....ila mmbadala wake sasa.....?!
Inaanza kutia sana wasiwasi habari za mtaani kuwa CRDB inachoka. Huduma zake nyingi zimechoka. Simu yao ya call centre imezikwa kabisa. Huduma matawini bora liende na hamna jipya last 10 years in terms of upgrading customer services. Fall in ni ndefu wakati siku hizi bank kubwa zote zinakuwa na electronic system to register customers as they enter the bank and wait while seated. Hii ni rahisi. Dalili kubwa ni ATMs mara nyingi hazina fedha, mtandao na cards kusumbua, na call centre kuwa kaburini, simu zote zilizopo online katika contact page hazipokelewi na nyingine zimekufa.
CRDB inakufa kwa kuwa kauli mbio yao haifanyiwi kazi tena na hivyo haina uhai tena -- "The Bank that listens" and when a dying process has started you will see all that the 'Bank that is Deaf'
Customers beware
Mwaka jana wamepost profit of >Tsh 100mil. Sasa kufilisika kwa aje?
Chimbilili ningekushaur next tm ucandike jambo usilo lijuwa, kwa nilazima ujuwe crdb ni plc wakati nbc ni Ltd! Pia kwa taarifa tu ukwasi ilio nao NBC nimkubwa kushinda wa Crdb plc na nirahisi sana kulijuwa hilo, kaiulize serikal kwanini hataki kutoa zile hisa zake kwa wazungu? Jibu ni moja tu inajuwa thaman naukubwa wa hii bank. Mimi nina hisa crdb zaid ya elfu na kitu lakini naweza sema hisa zangu zimedumaa ukilinganisha na hisa nilizo nazo NMB PLC, ukianza tu na hisa crdba plc hamna kitu wanapika report nakwakuwa nchi yetu mambo huwendeshwa kisiasa basi bora liende tangu crdb auze hisa yake mpaka leo haijawah vuka tsh500/= inashindwa hata na DCB. Sasa ujiulize nini kinafanyika ndani ya hii bank? Jambo lingine ambalo hatupaswi kushabikia hivi majuz umoja wa ulaya umeikopesha crdb mamilion ya EUR ili ku bust ukwasi wake which means wanatumia zaidi yakile walicho nacho hapa pia ni red light huwez linganisha hata punje na NBC, Jambo lingine hv majuz wameifund serikal mamilion unajuwa athari zake ktk mzunguko wa bank? Hapa csemi nadhan unitafute nikwambie. Crdb wameanzisha projects nyingi ikiwamo ile ya electron ticket ambayo ime fail jambo ambalo litaenda kuwalete haza kubwa uko mbelen. Kama ujuwi hawa jamaa wanakopesha na mahali wamefikia naweza sema ni red line nakwakuwa siasa na propaganda ktk vyombo pesa vinawezekana lazima kunasiku ukweli utajulikana. Jambo lingine la hatari sana ni expenditure hapa pia kuna red light huwez kamwe kulinganisha crdb plc ktk matumiz na NBC kamwe haitowe zekana. Na pia kwa taarifa tu hata crdb wazungu wapo tena huwenda uko tuendako itakuwa pia ya wazungu maana tayari kuna red light ktk uwendeshaji. Jaman yapo meng ila haya ni kwa ufupi tu japo BOT ndie anae weza twambia ikiwa crdb anaenda filisika au laa no me or u. Thx