CRDB bank inafilisika?


Mdada kwa hilo hauko sawa kabisa, siku hizi naona Kama natembea na akaunti mkononi vile. Nilikuwa Mpanda ndanindani niliweza kupata pesa kupitia Tigopesa. Niliamisha toka akaunti kwenda Tigopesa. Nawapa hongera sana hawa jamaa maana nilikuwa nimebanwa sina kitu kabisa.
 
Unaposema benki inakufa napata wasi wasi kidogo.kama miezi 2 iliyopita niliend Burundi! mie ni mteja wa benki kama tatu na nilibeba kadi zangu!baada ya kufika na kujaribu kadi zangu zote ziligoma na kwa bahati nzuri kati ya hizo benki tatu,ni benki ya crdb inakitengo cha huduma kwa wateja na nilipopiga 0755 19 77 00 muda wa sa mbili usiku,simu ilipokelewa mara moja na nilihudimiwa kwa haraka.Niliambiwa kadi yangu nimekosea kuweka namba ya siri na imefungwa kwa usalama wangu.kadi ilifunguliwa,nikapata huduma na kikubwa nilipata maelekezo tawi la benki ya crdb lilipo maeneo ya Burundi na nilifanikiwa kupata huduma kama nipo Tanzania.nilifurahi sana kupata huduma zao nchini Burundi na nilijivunia kuwa mtanzania ugenini!sasa unaposema benki inakufa unanipa wasiwasi!changamoto ndogo ndogo zipo na titaendelea kuziwasilisha sehemu usika ili wazifanyie kazi.Big up crdb bank,benki ya kizawa nchini na nje ya Tanzania!naomba ujipange na utupe mbadala wa Benki inayokufa nasi tukajionee!
 

Sasa unampongeza Tigopesa au Bank...mbona tunaongea same language??????
 
sasa kwa sisi tunaotaka kujiunga katika share itakuwaje mweee ngoja nifuatilie habari hii kama ni kweli
 
Sasa unampongeza Tigopesa au Bank...mbona tunaongea same language??????

Soma vizuri utanielewa. Past few days nilikuwa Mpanda nilikwama sina pesa but huduma yao ya Simbanking iliniokoa maana niliamisha kwenda Tigopesa nikapata mzigo. Tena naona wamefanya safi sana kuwa na mawakala Coz sasa nitatoa kwa hao. Safi CRDB banki kwa kwenda extra mile to deliver.
 

Makamba tutabishana kweli juu ya hili mkopo ni mkopo tu hakuna alie kurupuka hapa, nilifikiri ungesema mkopo hamkuchukua hapo ungekuwa umekosea na juu ya ma CEO kufukuzwa sii kweli maana hakuna mahali popote iliwahi kuandikwa hao viongozi wa juu wamefukuzwa note CEO NA VIONGOZI WENGINE WA BANK WANAFANYA KAZI KWA MIKATABA HIVYO NILAZIMA UWE UNAJUWA HILO
 
Profit yao ni million 100? Naona hesabu hujui kabisa ingia kwenye mtando wao uone walipata Trillion ngapi faida kwa mwaka! Jile79


Safi kabisa....Sasa km hiyo figure yako ni sahihi mi niingie kufanya nini mtandaoni tena? Hesabu najua kidogo acha kinivua nguo mwanakwetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…